Tanzanian traditional local foods

Tanzanian traditional local foods

Keki
FB_IMG_16938595288436033.jpg
FB_IMG_16938595192732058.jpg
FB_IMG_16938595753687141.jpg
 
Nyie watoto ebu nyamazeni mkipiga kelele itaungua[emoji23][emoji1787][emoji1787]wangapi waliaminishwa hii nadharia utotoni[emoji125][emoji125][emoji125]
FB_IMG_16938592018624123.jpg
FB_IMG_16938592127827520.jpg
FB_IMG_16938592170187389.jpg
 
Vile si ufanya tukiwa kwenye quality time na local beer zetu[emoji2958]
FB_IMG_16950410314654312.jpg
 
Dunia ya leo watu wengi ufanya utalii wa ndani au wa nje ya nchi zao si kwa ajili ya vivutio vya asili vya mazingira na majengo tu bali kwa ajili ya kufurahia utalii wa vyakula vya asili na tamaduni za jamii mbalimbali.

Kama watanzania ni fursa kwetu pia kutangaza na kujivunia vyakula vyetu vya asili na vya kitamaduni, kwani Tanzania tumejaaliwa sana kuwa na vyakula vingi vya asili na vyenye ladha nzuri pengine kuliko nchi yeyote ile barani Afrika, ningeomba kupitia uzi huu yeyote yule mwenye picha nzuri ya chakula cha asili cha kitanzania na jina la chakula chenyewe iwe ni kiswahili au kikabila asisite kutupia hapa hili tusaidiane katika kuutangaza utamaduni wetu.
dagaa ni chakula cha kuku
 
Back
Top Bottom