Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,659
- Thread starter
-
- #481
Hivi pilau “Rice pilaf” ni chakula cha asili cha Tanzania?
Pilau ni chakula ambacho chimbuko lake ni katika mataifa ya Asia lakini kama ilivyo lugha hukopa maneno katika lugha nyingine kujikamilisha, vilevile chakula maarufu katika jamii fulani kinaweza wavutia watu wa jamii nyingine kukipenda na kukikubali kama chakula chao na endapo watakitumia mara kwa mara kwa kipindi kirefu cha maisha yao kinabadilika na kuwa sehemu ya utamaduni wa ulaji wao.Hivi pilau “Rice pilaf” ni chakula cha asili cha Tanzania?