Tanzanian traditional local foods

Sasa chakula cha wahindi au wa Tz [emoji16] Pilau Pulao Pilaf Pilaw wahindi na waarabu wetu ugali [emoji23]
[emoji23]Ni kweli kuwa pilau ni chakula cha wahindi ila kwa kuwa nasi tumeiga na tunauendeleza utamaduni huo siyo mbaya tukijivunia chakula hicho, kwanini ujiulizi hatuli nyoka au mijusi kama wachina..ni kwa sababu kila jamii ina vyakula vya tamaduni zao na uazima maarifa katika tamaduni zinazowavutia au kulandana nao pekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…