Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,659
- Thread starter
- #861
Kachori
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana unakua bonge😂Aisee!😋
Sasa chakula cha wahindi au wa Tz 😁 Pilau Pulao Pilaf Pilaw wahindi na waarabu wetu ugali 😂
[emoji23]Ni kweli kuwa pilau ni chakula cha wahindi ila kwa kuwa nasi tumeiga na tunauendeleza utamaduni huo siyo mbaya tukijivunia chakula hicho, kwanini ujiulizi hatuli nyoka au mijusi kama wachina..ni kwa sababu kila jamii ina vyakula vya tamaduni zao na uazima maarifa katika tamaduni zinazowavutia au kulandana nao pekee.Sasa chakula cha wahindi au wa Tz [emoji16] Pilau Pulao Pilaf Pilaw wahindi na waarabu wetu ugali [emoji23]