Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,659
- Thread starter
-
- #1,041
Hii mbona mpya supu ya dagaa[emoji23][emoji23]
Ipo mbona tokea kitambo aisee[emoji23] tena ni supu safi sana kwa wale wasiopenda vyakula vyenye mafuta mengi kama nyama.Hii mbona mpya supu ya dagaa[emoji23][emoji23]