Tanzanian traditional local foods

Tips

1. Unashauriwa kiafya kutumia mafuta ya kula yanayoangukia katika kundi la rangi ya kijani ili kuepukana na madhara ya cholesterol

2. Kula nyama[emoji39] haina madhara mwilini bali faida, ila tu achana na mambo ya kukaangiza, kuchoma au kuongeza mafuta mabaya kwenye nyama.

3. Mwisho, chunga sana mdomo wako. Acha Ulafi wa kula kula, matumizi ya sukari, chumvi nyingi na mafuta mabaya ndiyo adui yako mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…