Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,659
- Thread starter
-
- #1,841
Sio kweli ukigonga ugali na dagaa wenye mafuta mengi utakunywa maji ka kiboko.😏Kitumbua ukigonga mixer na maharage, basi we siku nzima nikunywa maji tu kama nyoka..😂
Utanuka mdomo sanaKwa faida yako[emoji485][emoji525]View attachment 2992249
Inategemea na unaitumiaje unaweza kumeza punje zake tu kama unavyomeza tembe lakini pia kama unahitaji faida endelevu na siyo kama tiba ya muda mfupi kwaajili ya tendo,itumie mara kwa mara kama kiungo katika vyakula unavyokulaUtanuka mdomo sana