Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,659
- Thread starter
- #1,861
Kimanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafuta hayachagizi unywaji mwingi wa maji bali chumvi nyingi, sukari nyingi na kiasi kikubwa cha protini ndiyo chanzo cha unywaji wa maji unapokuwa umekula aina fulani ya vyakula.Sio kweli ukigonga ugali na dagaa wenye mafuta mengi utakunywa maji ka kiboko.[emoji57]
Siyo vyakula vyote vilivyopostiwa ni vya asili pekee bali vingine ni vyakula maarufu na vinavyopendelewa kuliwa na jamii zetu hivyo huwa sehemu ya utamaduni wa mtanzaniaHivi Pilau au biriani ni ya kiasili cha Tanzania? Mwe mie nahisigi kama ni ya kihindi au ikimombasa zaidi. Ahsanteni kwa elimu.
iti linaingiaje kwenye chakula Cha asili?[emoji1241]View attachment 2994122View attachment 2994123View attachment 2994124View attachment 2994125View attachment 2994126View attachment 2994127View attachment 2994128View attachment 2994130View attachment 2994131View attachment 2994132View attachment 2994133View attachment 2994134View attachment 2994139View attachment 2994140
Mkuu ngoja kwanza unaposema chakula Cha asili ni kumanisha nn labda maana ulivyopost 97% ni vya kigeni.
Labda wewe kwako chakula cha asili ni cha namna gani?Tik
iti linaingiaje kwenye chakula Cha asili?
Chapati asili yake ni wapi? Chips,wali,ngano, umefatilia asili ya vyakula hivyo ni wapi? Na vimeanza kutumika hasa Wakati Gani?Una hakika umeufuatilia uzi wote huu na picha zake zote tokea nilipoanza kupost nakuja na hiyo judgement ya asilimia au just unani-challenge?
Mkuu uhakika kabisa tikiti ni tunda asili hapa Tanzania?Labda wewe kwako chakula cha asili ni cha namna gani?
Ni rahisi tu, taja hivyo vyakula unavyohisi ni asili yetu na havijawai kupostiwa humu na pia ubandike na picha zake humu na kama uwezi kufanya hivyo..jua huna haki yeyote ya kunipangia cha kupost ikiwa mwenyewe huna mchango wowote kwenye uzi huuChapati asili yake ni wapi? Chips,wali,ngano, umefatilia asili ya vyakula hivyo ni wapi? Na vimeanza kutumika hasa Wakati Gani?
NB : Africa hatukuwa na vyakula viitwavyo chips hivo ni america kaskazini huko. Wala si hitaji mdahalo mkuu amini unachoamini