Tanzanian traditional local foods

Tukubaliane kwamba mkuu Uzi wako ungesema tu chakula anachokula mtanzania bila kutumia neno asili(tamaduni)

Nambie mayai yasiyokuwa na baba nayo yanaingia kwenye asili na hao kuku broiler? Vingi umejitaidi sana lkn pia umechemka mnoo
 
Kabisa kabisa nijaze picha ya vyakula kwenye simu yangu? Au unataka ni download chakula then ni subiri uzi wako Kwa ajiri ya kupost?

Elewa kuwa broiler au kuku wa mayai ulio post humu hata miaka 20 hawajamaliza Tz tangu waanze kufugwa mkuu huo uasili wao unatoka wapi? Tikiti ni hybrid Bado nikubali ni kitu Cha asili hiko? Licha ya kuwa hybrid Bado sio tunda asili la tz
Ni rahisi tu, taja hivyo vyakula unavyohisi ni asili yetu na havijawai kupostiwa humu na pia ubandike na picha zake humu na kama uwezi kufanya hivyo..jua huna haki yeyote ya kunipangia cha kupost ikiwa mwenyewe huna mchango wowote kwenye uzi huu
K
 
Kumbe wakuja kwenye uzi huu, wakongwe hawawezi kubishana kama hivi kidogo nishangae, hivyo vyote unavyoviongelea karibia vyote vimepostiwa humu tena kwa kubainisha mikoa na makabila na vyakula vyao na hamna kipya unachokifikiria akijawahi fanyika unachotakiwa kufanya ni kuchukua muda wako kufungua kurasa moja baada ya nyingine kuni-prove wrong.
 
Ni rahisi tu, taja hivyo vyakula unavyohisi ni asili yetu na havijawai kupostiwa humu na pia ubandike na picha zake humu na kama uwezi kufanya hivyo..jua huna haki yeyote ya kunipangia cha kupost ikiwa mwenyewe huna mchango wowote kwenye uzi huu
Talari(sungwi)
Bung'ho
Nondwa.
Gumbalu.
Pilipili kichaa siyo hzo za mwendo Kasi
Matango Yale ya mviringo(limbe)

Mboga
msasa
Siagi
Chubhu(mboga hii inapikwa Kwa unga na mafuta ya ng'ombe tu"samli" bila kuwekwa chumvi) Bado ikawa tamu
Mnyiholo(majani ya maboga yaliyo kaushwa then yakasagwa na kupikwa)
Mnafu
Mgagani
Mkuu vipo vingi vingine Hadi nikumbuke akipita hapa msukuma atanisaidia baadhi ya majina Kwa kiswahili
 
Hayo mayai ya kisasa uliyopost na miguu ya wale broiler ni chakula Cha asili mkoa Gani?
 
Karibia vyote ulivyotaja nishavipost humu hivyo siyo kazi yangu kukutafutia, nina post zinaelekea kufika 2k na picha ambazo sijui idadi yake hivyo ni juu yako mwenyewe kuenjoy kuperuzi na utajua sikufungi kamba bali kila unacho-assume hakipo kipo humu kuna kimoro,kichuri, vyakula vya kimasai,kiha,nyasa,kigogo,nyiramba,hehe, kimakonde, kipare, kichaga n.k
 
 

Attachments

  • IMG-20180614-WA0000.jpg
    93.3 KB · Views: 4
Hayo mayai ya kisasa uliyopost na miguu ya wale broiler ni chakula Cha asili mkoa Gani?
Swali ni je, hivyo vyakula vinaliwa Tanzania au vinaliwa katika nchi ya kigeni pekee yake?

Na kama ni kweli unakula vyakula hivyo kila siku au kila mara (hata kama asili yake si katika nchi yako) mfano wali/pilau/viazi mviringo/tambi n.k
je haitoshi kusema kuwa vyakula vya namna hiyo vimekuwa sehemu ya utamaduni wa ulaji wako?
 
Asili daima itabaki kuwa asili. Utamaduni wako wa kitanzania daima utabaki hivyo. Tofauti na hapo utahesabika umeiga utamaduni wa wazungu,waarabu au wahindi nk

Huwezi sema Sasa kuku wa kisasa ni Moja ya utamaduni wa mwafrica never
 
Ebana Undava king nimekuvulia kofia kwenye hii ishu, umetisha sana ndugu yangu... Ww tuletee vitu, post tu misosi wengine kama Mimi hupita kimyakimya.
 
Ebana Undava king nimekuvulia kofia kwenye hii ishu, umetisha sana ndugu yangu... Ww tuletee vitu, post tu misosi wengine kama Mimi hupita kimyakimya.

Hongera kwa kufuatilia na asante kwa support yako, nawaahidi ntaendelea kutupia picha nzuri za vyakula vya nchi yangu pendwa ya Tanzania [emoji1241] kwa sababu kwangu ni sehemu ya furaha kufanya hivyo nasijisikii kuchoka au kukatishwa tamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…