Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,659
- Thread starter
- #421
Viazi vya kuchoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa we si ngombe au kuku au nguruwe?Pamoja na ugali kupendwa sana kwa baadhi ya nchi za Africa, lakini siyo chakula cha kuliwa na binadamu.
Ieleweke kwamba Mahindi, mtama, uwele, etc ni kwa ajili ya kulisha ngombe, kuku na nguruwe.
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa we si ngombe au kuku au nguruwe?
Maana unaandika hapo ushakula sana ugali nguruwe mkubwa ww
[emoji122]hii nimeiona leoWali uyogaView attachment 2735182