Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,659
- Thread starter
- #981
Makaroni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15]maveterani utawajua tu..[emoji119][emoji23][emoji125][emoji125]... picha ya kwanza kabisa ukisikia watu wanakuambia bao kikombe ndio menu yake hiyo.!
Ni "uboho" mkuu[emoji846][emoji846][emoji114]Uboo (bone marrow) uboresha afya ya mwili na kuimarisha mifupa pamoja na ngozi ya mwili, kutokana na utajiri wake mkubwa wa glucosamine inayosaidia sana katika kuondosha maumivu katika viungo vya mwili wa binadamu.View attachment 2800691View attachment 2800692View attachment 2800693View attachment 2800694
[emoji15]Dah! kiswahili lugha yetu, na bado tunachapia[emoji122] Asante kwa masahihisho[emoji23]