Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,659
- Thread starter
- #1,481
Mwendo wa kujichana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
matunda yameamaua kuaa sehemu mojaNi msimu wa matunda[emoji7][emoji39]View attachment 2849945View attachment 2849946View attachment 2849949
indonesiaMara ya kwanza kwako kujua kuwa hii ni mboga safi kabisa ya kula na ugali ilikuwa ni lini?[emoji3526][emoji1][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2850110View attachment 2850112View attachment 2850113View attachment 2850114View attachment 2850115View attachment 2850116
asante sana nashukuru kwa kuwa mmoja wa kuupush pamoja tutanaenzi vya kwetuMwaka 2023 ukiwa umefikia ukingoni leo, napenda kuzielekeza shukrani zangu za dhati kwa wadau mbalimbali ambao michango yao kwa namna moja au nyingine ndiyo iliyouwezesha uzi huu kufikia ulipo;
1. Malchiah
2. Apeche Alolo
3. Kimbisa
4. Winnone
5. Mshamba_hachekwi
6. Mshana Jr
7. Mjinga mimi
8. My eyes
9. Palina
pamoja na wengine wote mliosoma, ku-comment, kushare na ku-like mchango wenu ulikuwa muhimu mno, Asanteni sana na tuukaribishe mwaka 2024 kwa shangwe la pamoja huku tukiendelea kutupia madikodiko ya kitanzania katika uzi wetu pendwa.
huwa naliona sana mtaani huu mti lakini sijawahi ona linatumikaje bwana asante
nimecheka kwa sabbu ya huyu mwamba wa pili kutoka mwisho alinogesha sana tangazo by the way mwanaume unapaswa ule nguna ya kushiba bwana.Ugali wa kushiba na kusaza. Na hii ndiyo desturi yetu katika kuwakaribisha wageni.View attachment 2858715View attachment 2858716View attachment 2858717View attachment 2858718View attachment 2858719View attachment 2858721
nyumbani kabisa moshi
[emoji1666]asante sana nashukuru kwa kuwa mmoja wa kuupush pamoja tutanaenzi vya kwetu
Umenikumbusha enzi hizo nikiwa mkazi wa mabogini, masoka, kirima, kwa mangi sina, kwa kina Kimaro na Mushi ama hakika napamisi Kibosho kila nikiona mtori, kitimoto na mbege[emoji23]nyumbani kabisa moshi
[emoji1787]nimecheka kwa sabbu ya huyu mwamba wa pili kutoka mwisho alinogesha sana tangazo by the way mwanaume unapaswa ule nguna ya kushiba bwana.
Hahaaaa! Na wewe kumbe umebaini hilo utafika mbinguni umechoka sana[emoji23]matunda yameamaua kuaa sehemu moja