Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,517
- 5,533
ni wakali acha tuu ni kitoweo kizuri ila ukijichanganya kwao unakuwa kitoweo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ona sungura mjanja hapo kakunja sikio moja
[emoji23]kaka sungura kipenzi cha wengi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]namw
ona sungura mjanja hapo kakunja sikio moja
Duh! Na meno yao makali kama misumeno sipati picha, bahari ina viumbe wengi wa ajabu kwelini wakali acha tuu ni kitoweo kizuri ila ukijichanganya kwao unakuwa kitoweo