Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,422
- 5,659
- Thread starter
- #1,601
Mapochopocho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawa kuku wa kutembeza kwenye mmbabo ni wale wa njombe kama unaelekea madaba nini nlipita mitaa hio kipindi nikaona wengi. Na mavanga nilikula ugali kuku wa kienyeji bei ilikuwa cheap mpaka nikashangaa kule kuku ni bei ndogo mno anakamatwa anachinjwa anaandaliwa mboga kwa mama ntilie mimi nikajua bei zitakuwa kama za dar bwana😛[emoji178]View attachment 2888400View attachment 2888402View attachment 2888404View attachment 2888405View attachment 2888406View attachment 2888407View attachment 2888409View attachment 2888410View attachment 2888411View attachment 2888413View attachment 2888414View attachment 2888415View attachment 2888416View attachment 2888417View attachment 2888418View attachment 2888419View attachment 2888420View attachment 2888421View attachment 2888422View attachment 2888423View attachment 2888424View attachment 2888425View attachment 2888426View attachment 2888427View attachment 2888428View attachment 2888429View attachment 2888430View attachment 2888431View attachment 2888432View attachment 2888433
Yap! Kiufupi Tanzania tumejaaliwa neema ya kuwa na vyakula vingi karibia kila eneo la nchi yetu lina unafuu wa kupata aina fulani ya vyakula kwa wingi kuliko eneo lingine.hawa kuku wa kutembeza kwenye mmbabo ni wale wa njombe kama unaelekea madaba nini nlipita mitaa hio kipindi nikaona wengi. Na mavanga nilikula ugali kuku wa kienyeji bei ilikuwa cheap mpaka nikashangaa kule kuku ni bei ndogo mno anakamatwa anachinjwa anaandaliwa mboga kwa mama ntilie mimi nikajua bei zitakuwa kama za dar bwana😛