Tanzanian unplanned housing , its a big problem toward ,sustainable development

Sasa kama wew mbongo unawambia wakenya ili iweje?
 
Ndivyo wawekezaji wa Kenya waone opportunities za kujenga majumba ya makazi ,malls na pia kuwekeza kwa huduma za soko la nyumba.
Opportunity kubwa ipo pale Kibera,Mathare. Mnaweza kubadilisha pale pakawa sehemu ya binadamu kuishi. Mkimaliza huko tunawakaribisha mje mtusaidie. Charity begins at home.
 
Opportunity kubwa ipo pale Kibera,Mathare. Mnaweza kubadilisha pale pakawa sehemu ya binadamu kuishi. Mkimaliza huko tunawakaribisha mje mtusaidie. Charity begins at home.
Alafu cha ajabu Wanasema eti unplanned house Wakati ni nyumba Nzuri za kisasa ambazo hazijawahi kuwa kwao [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaka umeongea ukweli.
Hususan ukija wilaya ya kigamboni na Temeke kule mbagala chamazi kuna majumba aisee sio poa lakin hayajakaa kimpangilio.
Yan mpk mtu unataman uwe na magic uzisawazishe zikae kimpangilio.Nyumba nzuri ila hazijakaa kimpango miji.
Na hii inatokana na serikali yetu kuchagua maeneo ya kuyaendeleza.
Flyover majengo mazuri wilaya za ilala na kinondoni sehem zigine hususan Temeke wamezitenga sana yani
 
Miji yetu ilivyo pangika na akili zetu zipo hivyo hivyo.

Ni kero sana kama vile nchi haina vyuo vya ardhi!
 
Opportunity kubwa ipo pale Kibera,Mathare. Mnaweza kubadilisha pale pakawa sehemu ya binadamu kuishi. Mkimaliza huko tunawakaribisha mje mtusaidie. Charity begins at home.
Nyie pia mbadilishe slums za Mkwawa ,Magomeni,Msasani na Temeke ziwe sehemu za binadamu kuishi kabla kuja kuimba Kibera ,Mathare blah blah. Charity begins at home huko Dar es Slums.
 
Nyie pia mbadilishe slums za Mkwawa ,Magomeni,Msasani na Temeke ziwe sehemu za binadamu kuishi kabla kuja kuimba Kibera ,Mathare blah blah. Charity begins at home huko Dar es Slums.
Wewe kweli chizi. Nimeandika hivyo kujibu mtu mwenye uchafu kwao eti aje kusafisha kwetu.
 
Kibera ardhi ni ya serikali..so wawekezaji haiwahusu...ile iko reserve tu...si kitambo utaskia inabomolewa tena kw ajili ya mradi mkubwa km vile ring road
Opportunity kubwa ipo pale Kibera,Mathare. Mnaweza kubadilisha pale pakawa sehemu ya binadamu kuishi. Mkimaliza huko tunawakaribisha mje mtusaidie. Charity begins at home.
 
Ile project ya New Kigamboni ilikuwa tamu sana kiukweli Kigamboni ikiwekewa infrastructures nzuri za long run panafaa kuwa DSM mpya,maeneo mengi ya Kigamboni yamepimwa pia kuna maeneo makubwa sana hayaendelezwa na yanamilikiwa na mapebari pindi pakifunguka uwekezaji unaweza chukua nafasi yake!!!! Kwa Kigamboni bado hatujachelewa!!! Serikali itazame kulifanya jiji la Dar es Salaam kuwa jiji mfano na lakisasa kbs!!! Kwa mipango ya Dodoma sina wasiwasi kwa Dar es Salaam mmh!!!! Naona miundo mbinu,ila kudedicate sehemu kwa ajili ya mji mpya bado wakati prediction zinaonyesha we are going to be a mega city by sijui ngapi ngapi huko!!!Kama hatuwezi kufanya leo basi tuweke mikakati .
 
Tuache Siasa!!!!!.
 
concern yako ni NZURI, ila ss naona kama umeileta wrong place ! ungepeleka kule forum ya hoja na habari mchanganyiko.... humu ni kwa ajili ya topic za akina jaguar, ruto, UK, Baba, JK, JPM ,
 
All what you need is law governing construction.In Kenya for your architectural drawings to be approved you must conform to the building code in that area.
 
Nyie pia mbadilishe slums za Mkwawa ,Magomeni,Msasani na Temeke ziwe sehemu za binadamu kuishi kabla kuja kuimba Kibera ,Mathare blah blah. Charity begins at home huko Dar es Slums.
Asee slums za tz zina haueni.
Ila sio za kibera zilizotapakaa kimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…