Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndivyo wawekezaji wa Kenya waone opportunities za kujenga majumba ya makazi ,malls na pia kuwekeza kwa huduma za soko la nyumba.Sasa kama wew mbongo unawambia wakenya ili iweje?
Opportunity kubwa ipo pale Kibera,Mathare. Mnaweza kubadilisha pale pakawa sehemu ya binadamu kuishi. Mkimaliza huko tunawakaribisha mje mtusaidie. Charity begins at home.Ndivyo wawekezaji wa Kenya waone opportunities za kujenga majumba ya makazi ,malls na pia kuwekeza kwa huduma za soko la nyumba.
Alafu cha ajabu Wanasema eti unplanned house Wakati ni nyumba Nzuri za kisasa ambazo hazijawahi kuwa kwao [emoji23][emoji23][emoji23]Opportunity kubwa ipo pale Kibera,Mathare. Mnaweza kubadilisha pale pakawa sehemu ya binadamu kuishi. Mkimaliza huko tunawakaribisha mje mtusaidie. Charity begins at home.
Hujui maana ya slums ww katafute ktk dictionaryAcha kuita matako makalio unplanned housing ni slums across the country
Kaka umeongea ukweli.Kiukwel Tz unplanned housing ni tatizo kubwa ni bora kuwa na slums za mabati au maboksi kama kule kibera kuliko kuwa na nyumba bora lakin ziko unplanned, sababu slums kama za India,Kenya na southafrica au kule Namibia, zimejitenga na city au towns hivo miji inavutia kiasi flani lakini Tz is to much unplanned housing is all over tha city , NB Mimi ni mtz halisi with a huge travel experience, pia open minded ,sijaponda Tz am stand on truth right??;'
rorMiji yetu ilivyo pangika na akili zetu zipo hivyo hivyo.
Ni kero sana kama vile nchi haina vyuo vya ardhi!
Nyie pia mbadilishe slums za Mkwawa ,Magomeni,Msasani na Temeke ziwe sehemu za binadamu kuishi kabla kuja kuimba Kibera ,Mathare blah blah. Charity begins at home huko Dar es Slums.Opportunity kubwa ipo pale Kibera,Mathare. Mnaweza kubadilisha pale pakawa sehemu ya binadamu kuishi. Mkimaliza huko tunawakaribisha mje mtusaidie. Charity begins at home.
Wewe kweli chizi. Nimeandika hivyo kujibu mtu mwenye uchafu kwao eti aje kusafisha kwetu.Nyie pia mbadilishe slums za Mkwawa ,Magomeni,Msasani na Temeke ziwe sehemu za binadamu kuishi kabla kuja kuimba Kibera ,Mathare blah blah. Charity begins at home huko Dar es Slums.
Huu ni ukweli. Unakuta nyumba nzuri ila haziko kimpangilio.
Opportunity kubwa ipo pale Kibera,Mathare. Mnaweza kubadilisha pale pakawa sehemu ya binadamu kuishi. Mkimaliza huko tunawakaribisha mje mtusaidie. Charity begins at home.
Tuache Siasa!!!!!.Ile project ya New Kigamboni ilikuwa tamu sana kiukweli Kigamboni ikiwekewa infrastructures nzuri za long run panafaa kuwa DSM mpya,maeneo mengi ya Kigamboni yamepimwa pia kuna maeneo makubwa sana hayaendelezwa na yanamilikiwa na mapebari pindi pakifunguka uwekezaji unaweza chukua nafasi yake!!!! Kwa Kigamboni bado hatujachelewa!!! Serikali itazame kulifanya jiji la Dar es Salaam kuwa jiji mfano na lakisasa kbs!!! Kwa mipango ya Dodoma sina wasiwasi kwa Dar es Salaam mmh!!!! Naona miundo mbinu,ila kudedicate sehemu kwa ajili ya mji mpya bado wakati prediction zinaonyesha we are going to be a mega city by sijui ngapi ngapi huko!!!Kama hatuwezi kufanya leo basi tuweke mikakati .
Kiukwel Tz unplanned housing ni tatizo kubwa ni bora kuwa na slums za mabati au maboksi kama kule kibera kuliko kuwa na nyumba bora lakin ziko unplanned, sababu slums kama za India,Kenya na southafrica au kule Namibia, zimejitenga na city au towns hivo miji inavutia kiasi flani lakini Tz is to much unplanned housing is all over tha city , NB Mimi ni mtz halisi with a huge travel experience, pia open minded ,sijaponda Tz am stand on truth right??;'
All what you need is law governing construction.In Kenya for your architectural drawings to be approved you must conform to the building code in that area.Kiukwel Tz unplanned housing ni tatizo kubwa ni bora kuwa na slums za mabati au maboksi kama kule kibera kuliko kuwa na nyumba bora lakin ziko unplanned, sababu slums kama za India,Kenya na southafrica au kule Namibia, zimejitenga na city au towns hivo miji inavutia kiasi flani lakini Tz is to much unplanned housing is all over tha city , NB Mimi ni mtz halisi with a huge travel experience, pia open minded ,sijaponda Tz am stand on truth right??;'
Asee slums za tz zina haueni.Nyie pia mbadilishe slums za Mkwawa ,Magomeni,Msasani na Temeke ziwe sehemu za binadamu kuishi kabla kuja kuimba Kibera ,Mathare blah blah. Charity begins at home huko Dar es Slums.