Ni mtoto wa mtongani na shule haipo. Mlitegemea ajue ngeli kutokea wapi zaidi ya kujua lugha mama. By the way unaonekana mdau wa hizo mambo , vipi uliiangalia na ya mchungaji wetu maarufu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hehehe Huyo hapo anaitwa Amber Rutty, tafuta kwenye Google kuna video zake zilifuja akiliwa nyuma.
Ushasema tajiri, je ambaye sio tajir afanyaje?Inashangaza sana mpaka leo waAfrica bado ina mentality ya kikoloni, kwamba mtu asipoongea English anaonekana hakusoma, Ndugu zetu wakenya sisi tunaongea kiswahili tu na tunakithamini sana sana. Kuna tajiri mmoja wa kenya anaenda China kwa mwezi mara 2 kufunga biashara na anaondoka na mkalimani wake anaeongea kichina, mbona English yake haimsaidii kule? Acheni mawazo ya Kikoloni banaaa daah
Hehehe wakoraNi mtoto wa mtongani na shule haipo. Mlitegemea ajue ngeli kutokea wapi zaidi ya kujua lugha mama. By the way unaonekana mdau wa hizo mambo , vipi uliiangalia na ya mchungaji wetu maarufu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dhahabu kachuma kwao uarabuni?? Au mali ya Afrika, mpumbavu sana yule, utafanyaje muamala wa hela nyingi hivyo kwa kutumia simu unaongea na makajanja wa mjini. Apige hiyo albadiri na sisi tumpigie kamuti ya Ukambani tuone nani ataomba yaishe...Embu rudisheni dhahabu za waarabu kabla hamjasomewa albadiri
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hehehe wakora
Ya mchungaji niliitazama ila serikali yenu kupitia waziri Lugora ilikana na kumsafisha, nchi yenu bana, waziri mzima anatumia madaraka yake kutetea upumbavu.
Sensitive ipi hapo mpumbavu anajichukua video halafu anaikana na kusema ni ya baunsa halafu waziri anamsafisha.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hii nchi ni zaidi ya uijuavyo. Hiyo issue ni sensitive zaidi ya unavyoifikiria
Kwa hiyo ukaona Watanzania wote ni NYAWAWA kisa huyu mmoja hajaongea KIINGEREZA kizuri..?? Haya Kenya Kuna VICHAA, ina maana Wakenya wote NI vichaa kwa vile tu kuna kichaa mmoja? Unafeli nduguimagine ukipatana na nyawawa kama hii ndani ya drimulaina ikiwa (air hostage) na inakwambia 'talk me for English' shida hii aisee.
View attachment 1103286
Hehehe Huyo hapo anaitwa Amber Rutty, tafuta kwenye Google kuna video zake zilifuja akiliwa nyuma.
MK254 swala la madem naomab nyamaza tu...Sensitive ipi hapo mpumbavu anajichukua video halafu anaikana na kusema ni ya baunsa halafu waziri anamsafisha.
Kitu msichokifahamu ni kwamba simu yako hiyo inaweza ikawekwa vitu fulani vinatuma video na picha zako sehemu bila ya wewe kujua, utakuta kipindi Gwajima alituhumiwa mambo ya unga na simu yake kuchukuliwa ilitiwa kitu kama hicho, sasa mjinga akaendelea na mambo yake.
Halafu huyo demu kwenye hiyo video amedhalilisha mademu wa Kitanzania, yaani yupo yupo tu hatikisiki anamuachia mchungaji apepete mauno.