Tanzanians but why???

Tanzanians but why???

YoungD

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
1,275
Reaction score
1,332
imagine ukipatana na nyawawa kama hii ndani ya drimulaina ikiwa (air hostage) na inakwambia 'talk me for English' shida hii aisee.

Hehehe Huyo hapo anaitwa Amber Rutty, tafuta kwenye Google kuna video zake zilifuja akiliwa nyuma.
 
Inashangaza sana mpaka leo waAfrica bado ina mentality ya kikoloni, kwamba mtu asipoongea English anaonekana hakusoma, Ndugu zetu wakenya sisi tunaongea kiswahili tu na tunakithamini sana sana. Kuna tajiri mmoja wa kenya anaenda China kwa mwezi mara 2 kufunga biashara na anaondoka na mkalimani wake anaeongea kichina, mbona English yake haimsaidii kule? Acheni mawazo ya Kikoloni banaaa daah
 
Lijinga kweli liotoa huu UZi lugha yetu rasmi nk kiswahili na kingereza ni additional language natuna kifahamu kw wachache. We hushangai kuona taifa kama korea wamepiga hatua kimaendeleo lkn english language sio case kubwa kwao ....na isitoshe mbona hata nyie wakenya hamjui kiswahili vile vile acha UJUHA hata wale madaktari wa cuba walikuja kwenu hapo mmeona hawajui english completely lkn wanawatibu nyie ma zwazwa mnaothamini lugha ya mkoloni wenu
 
Mkenya akiongea English anajisikia kama yupo London vile.ushamba mzigo
 
Hehehe Huyo hapo anaitwa Amber Rutty, tafuta kwenye Google kuna video zake zilifuja akiliwa nyuma.
Ni mtoto wa mtongani na shule haipo. Mlitegemea ajue ngeli kutokea wapi zaidi ya kujua lugha mama. By the way unaonekana mdau wa hizo mambo , vipi uliiangalia na ya mchungaji wetu maarufu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inashangaza sana mpaka leo waAfrica bado ina mentality ya kikoloni, kwamba mtu asipoongea English anaonekana hakusoma, Ndugu zetu wakenya sisi tunaongea kiswahili tu na tunakithamini sana sana. Kuna tajiri mmoja wa kenya anaenda China kwa mwezi mara 2 kufunga biashara na anaondoka na mkalimani wake anaeongea kichina, mbona English yake haimsaidii kule? Acheni mawazo ya Kikoloni banaaa daah
Ushasema tajiri, je ambaye sio tajir afanyaje?
 
Ni mtoto wa mtongani na shule haipo. Mlitegemea ajue ngeli kutokea wapi zaidi ya kujua lugha mama. By the way unaonekana mdau wa hizo mambo , vipi uliiangalia na ya mchungaji wetu maarufu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hehehe wakora
Ya mchungaji niliitazama ila serikali yenu kupitia waziri Lugora ilikana na kumsafisha, nchi yenu bana, waziri mzima anatumia madaraka yake kutetea upumbavu.
 
Embu rudisheni dhahabu za waarabu kabla hamjasomewa albadiri
 
Dhahabu kachuma kwao uarabuni?? Au mali ya Afrika, mpumbavu sana yule, utafanyaje muamala wa hela nyingi hivyo kwa kutumia simu unaongea na makajanja wa mjini. Apige hiyo albadiri na sisi tumpigie kamuti ya Ukambani tuone nani ataomba yaishe...
 
Hehehe wakora
Ya mchungaji niliitazama ila serikali yenu kupitia waziri Lugora ilikana na kumsafisha, nchi yenu bana, waziri mzima anatumia madaraka yake kutetea upumbavu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hii nchi ni zaidi ya uijuavyo. Hiyo issue ni sensitive zaidi ya unavyoifikiria
 
Sensitive ipi hapo mpumbavu anajichukua video halafu anaikana na kusema ni ya baunsa halafu waziri anamsafisha.
Kitu msichokifahamu ni kwamba simu yako hiyo inaweza ikawekwa vitu fulani vinatuma video na picha zako sehemu bila ya wewe kujua, utakuta kipindi Gwajima alituhumiwa mambo ya unga na simu yake kuchukuliwa ilitiwa kitu kama hicho, sasa mjinga akaendelea na mambo yake.
Halafu huyo demu kwenye hiyo video amedhalilisha mademu wa Kitanzania, yaani yupo yupo tu hatikisiki anamuachia mchungaji apepete mauno.
 
imagine ukipatana na nyawawa kama hii ndani ya drimulaina ikiwa (air hostage) na inakwambia 'talk me for English' shida hii aisee.

View attachment 1103286
Kwa hiyo ukaona Watanzania wote ni NYAWAWA kisa huyu mmoja hajaongea KIINGEREZA kizuri..?? Haya Kenya Kuna VICHAA, ina maana Wakenya wote NI vichaa kwa vile tu kuna kichaa mmoja? Unafeli ndugu

Akili ingekuwa ni kiungo cha uzazi ungekuwa huzai
 
Nasikia kiingereza ndio lugha wanayoitumia kufunza kwenye shule zao za upili. Kwahivyo jijazie mwenyewe, masomo yake yaliishia darasa la saba.
 
A real African.

Real African.jpeg
 
Sensitive ipi hapo mpumbavu anajichukua video halafu anaikana na kusema ni ya baunsa halafu waziri anamsafisha.
Kitu msichokifahamu ni kwamba simu yako hiyo inaweza ikawekwa vitu fulani vinatuma video na picha zako sehemu bila ya wewe kujua, utakuta kipindi Gwajima alituhumiwa mambo ya unga na simu yake kuchukuliwa ilitiwa kitu kama hicho, sasa mjinga akaendelea na mambo yake.
Halafu huyo demu kwenye hiyo video amedhalilisha mademu wa Kitanzania, yaani yupo yupo tu hatikisiki anamuachia mchungaji apepete mauno.
MK254 swala la madem naomab nyamaza tu...
 
Hii ya "air hostages" katamka the most powerful Man in Bongolalaland, je wabongo hasa was vijiweni watakuwa vipi?
 
Back
Top Bottom