Tanzanians come here we talk, what is this?

Kwani Nairobi imenyesha mvua this year
 
Ni mafuriko ya kiwango cha kati tu. You can find that situation in Ghana, Uganda, Gabon, Sudan, Haiti, Tahiti, Ecuador and co.
 
Kuuliza sio mbaya, hizi baiskeli zinafanya nini ndani ya mji?
 
Huyu jamaa alianzisha uzi wa barabara akapigwa miti ya kutosha ikabidi afungue huu uzi now
Anatakiwa kujuwa kuna mambo sio ya ajabu. Kijiografia huwezi kukwepa hayo mafuriko kwa sasa maana hawakupanga mapema mfumo vizuri wa maji na barabara au makazi.
 
kweli hii inachekesha 2 sana.


Nimekubali Kenya kuna shida lakini hii nayo inachekesha. I haven't seen something like this in Nairobi this year.View attachment 1096856
[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…