Tanzanians come here we talk, what is this?

Tanzanians come here we talk, what is this?

Teargass

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2018
Posts
20,648
Reaction score
17,772
Nimekubali Kenya kuna shida lakini hii nayo inachekesha. I haven't seen something like this in Nairobi this year.
IMG_20190514_003300.jpeg
 
Ni mafuriko ya kiwango cha kati tu. You can find that situation in Ghana, Uganda, Gabon, Sudan, Haiti, Tahiti, Ecuador and co.
 
Kuuliza sio mbaya, hizi baiskeli zinafanya nini ndani ya mji?
IMG_20190514_003300.jpeg
b25e0d98619458e5052a657b4ea57d9d.jpeg
 
Huyu jamaa alianzisha uzi wa barabara akapigwa miti ya kutosha ikabidi afungue huu uzi now
Anatakiwa kujuwa kuna mambo sio ya ajabu. Kijiografia huwezi kukwepa hayo mafuriko kwa sasa maana hawakupanga mapema mfumo vizuri wa maji na barabara au makazi.
 
kweli hii inachekesha 2 sana.


Nimekubali Kenya kuna shida lakini hii nayo inachekesha. I haven't seen something like this in Nairobi this year.View attachment 1096856
[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom