Nchi ipi imeendelea?nyie mko wapi...mpumbavu mkubwa wee...nchi kavu imeendelea kuliko nchi yenye Diamond mineral, na mvua tele...wavivu kupindukia
Hatutaki kushindwa na nchi zilizo nyuma yetu iwe Rwanda wala nini. Mshindani siku zote lazima uwaze washindani walio mbele yako. Japo pia Tanzania iko nyuma yetu kwa ajili ya uvivu tu, sioni sababu nyingine yoyoteHivi wakenya kwanini hampendi Tanzania iwazidi? Yaani mko tayar Rwanda iwe juu yenu kuliko Tanzania. Mna chuki binafsi
Alafu wanajikuta eti wameendelea.....si maajabu hayo?!!Hata HDI mmezidiwa na Congo na Zambia na Bangladesh.. Hehehe. Kenya is Just as poor as Tz. Tena bora sisi tupo na standards.. The gap btn poor and rich is small and is narrowing day to day.
Sababu ziko nyingi wewe tu umechagua kutoziona.Hatutaki kushindwa na nchi zilizo nyuma yetu iwe Rwanda wala nini. Mshindani siku zote lazima uwaze washindani walio mbele yako. Japo pia Tanzania iko nyuma yetu kwa ajili ya uvivu tu, sioni sababu nyingine yoyote
Sababu ziko nyingi wewe tu umechagua kutoziona.
Nchi uchumi ulikufa kabisa baada ya the failed experiment that was socialism na bado tumecatch up.
Na kwa taarifa yako nchi yenye rasilimali nyingi ni ngumu kuendelea hata kuliko nchi isiyokuwa na kitu. Stop thinking mechanically for once. Hii sio 1+1.
Eti uvivu. Nitaleta hapa takwimu za productivity ya the average Tanzanian worker vs the Kenyan one.Waapi kila siku vijisababu uchwara mara ujamaa mara uongozi mara Kagera mara hiki mara kile. Hamna njia ya mkato, chapa kazi wacha kubweteka, mna kila sababu ya kutoka kwenye hiyo aibu ya LDC.
Tatizo ushirikina na uvivu tu.
Eti uvivu. Nitaleta hapa takwimu za productivity ya the average Tanzanian worker vs the Kenyan one.
Hamna kitu kama uvivu. Especially eti mkenya anamwita mbongo mvivu. Nyie mna nini mlichofanya na huo uchapakazi wenu? Absolutely nothing. na ndio maana mnashika mkia kwenye middle HDI na middle income. Yaani kukitokea shocks kidogo tu mnarudi where you belong: LDCs.
Ombeni MUNGU uchaguzi wenu uwe wa amani otherwise LDC itawahusu.
Punguza povunyie mko wapi...mpumbavu mkubwa wee...nchi kavu imeendelea kuliko nchi yenye Diamond mineral, na mvua tele...wavivu kupindukia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nikisomaga comments kama hizi ndio nathibitisha uwezo wenu mdogo wa kudadavua mambo. Ndio maana mnatembea na mbolea kwenye makalio yenu na Magovi.
Wewe unafikiri hii amani ilikuja naturally? Hayo pia ni mafanikio. Nyie wakenya ni Vila.za sana,
Hatutaki kushindwa na nchi zilizo nyuma yetu iwe Rwanda wala nini. Mshindani siku zote lazima uwaze washindani walio mbele yako. Japo pia Tanzania iko nyuma yetu kwa ajili ya uvivu tu, sioni sababu nyingine yoyote
Waapi kila siku vijisababu uchwara mara ujamaa mara uongozi mara Kagera mara hiki mara kile. Hamna njia ya mkato, chapa kazi wacha kubweteka, mna kila sababu ya kutoka kwenye hiyo aibu ya LDC.
Tatizo ushirikina na uvivu tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu siku fulani niliona mnamlaumu Mjerumani, hamuishi vijisababu. Miaka zaidi ya 50 mumejaa vijisababu.
Mnajipa moyo, subirini mtaisoma2Tunajisifu kwa ajili ya utenda kazi wetu na kujituma, tungekua kama nyie kwa nchi yetu ilivyo kavu hata Burundi wangetushinda. Mambo kama life expectancy kwanza at birth lazima Kenya isifanye vizuri maana kuna maeneo ukienda ndani ya nchi yetu ni kame na jangwa tupu. Japo tunawashinda kwenye cohorts zingine.
Leo hii na hiyo nchi yenu yenye amani na rouba kila sehemu na kila kitu mlifaa kuwa mumetuacha mbali, ilhali tofauti ni nukta tu, hamna kitu.
Punguza povu, na mwaka huu nina wasiwasi mtanyukana tu maana mnajifanyaga kujua jua.nyie mko wapi...mpumbavu mkubwa wee...nchi kavu imeendelea kuliko nchi yenye Diamond mineral, na mvua tele...wavivu kupindukia
Hivi reli yenu ikoje kweli!!!! Aah nimekosea kweli nauriza zile train ni za karne gani kweli! Je zinaendana na technology ya sasa.ndio inachangiwa na mabo hayo sijakataa ila hamna la kushabikia hapo...jipeni sifa wakati mnajenga reli...hilo ni jambo la msingi...sio kutuletea upuuzi huu apa...
Mnajipa moyo, subirini mtaisoma2
unaruhusiwa kuendelea kujipa faraja.Waliimba babu zenu kuhusu kutusomesha namba, huo wimbo wamewapokeza nyie vitukuu na bado tutawalisha vumbi miaka yote.
Mlituambia mwaka wa kwanza wa Magu mtakua mumetuputa, leo hii mnaisoma namba wenyewe.