game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
Nchi ipi imeendelea?nyie mko wapi...mpumbavu mkubwa wee...nchi kavu imeendelea kuliko nchi yenye Diamond mineral, na mvua tele...wavivu kupindukia
Nchi ipi kame? Mbona mnatenga mabilioni ya kilimo cha Mirungi? Hiyo mirungi mnalima kwenye Makalio ?
Israel is 100% desert lakini wamewapa msaada hapo Galana.
Kwa nini Wakenya hamshirikishi ubongo kukomenti?