Kenya is one of the most unequal countries in the sub-region. Forty two percent of its population of 44 million, live below the poverty line. ... Large segments of the population, including the burgeoning urban poor, are highly vulnerable to climatic, economic and social shocks.
Kenyan wana vituko sana walitakiwa wawaze mambo ya kiuchumi wanaleta mapicha ya estate ambayo katika maisha yao yote mpaka wanazikwa hawatokaa waweze kujenga wala kuishi hapoKaka ya kweli hayo
Dar yote tunajua ni slumHii pic haionekan vema then ya mwaka gan na ni wap.maana hatuna slums km hzo tz kwa sasa
Mko na Kama hizi? 👇👇👇👇👇Hii pic haionekan vema then ya mwaka gan na ni wap.maana hatuna slums km hzo tz kwa sasa
Hii picha walishakataa kitambo Sana eti sio Dar wakati hata hiyo Brt yao inaonekana vizuri Sana. Masters of denialDar yote tunajua ni slumView attachment 1115609
Hiv hyo inafanana na hii .Dar yote tunajua ni slumView attachment 1115609
We mwanamama mla sukuma week hiyo kigamboni sawaMko na Kama hizi? [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1115610
Toa zile building tatu Dar hukuna kitu kingine isipokua huu uchafuHiv hyo inafanana na hii .
Nambie daresalaam kuna baadhi ya maeneo yana nyumba zenye bati chakav na zisizo.na mpangilio km manzese lakn sio udhalil km wa kibera tz hamnaView attachment 1115619
Hiv unajua hapo wapi.Toa zile building tatu Dar hukuna kitu kingine isipokua huu uchafuView attachment 1115642
Wewe kilaza unadhani mimi mgeni na hiyo render?[emoji38]Hiyo kigamboni haina slums kabisa sawa kijana View attachment 1115643View attachment 1115644
unauziwa au unakodishiwa..baada ya miaka kadhaa unatakiwa uka renew.....bwahahaaaThen huyo chokoraa hajui km huku kigamboni viwanja vinauzwa bei ya pipi tena vikuuuubwa anataka kulinganisha sisi na wao wanaofurahia utajir wa wachache
Eh asa ww unabisha nn unabishana na mwenye mali.Wewe kilaza unadhani mimi mgeni na hiyo render?[emoji38]
Tz na kenya wapi wananchi wanamilik ardhi kwa wing km sio tz unaongea nn ww mla sukuma weekunauziwa au unakodishiwa..baada ya miaka kadhaa unatakiwa uka renew.....bwahahaaa
Wewe ndo hujui kitu kabisa ungetulia tu, eti kukodishiwa au unacomment tu ili uonekane unacomment utumbounauziwa au unakodishiwa..baada ya miaka kadhaa unatakiwa uka renew.....bwahahaaa
Sis hayo yapo Kinondon ilala kigambon koote yapo hatuzuzuki.ukitaka kujua Nairobi imejengwa na wachache taxama slums zenu chin hapa tz kuna slums ila sio chafu km za nairobi.Niharika apartmentView attachment 1115652