Was i arguing about estates? Was i replying you?It is expected watu kama wewe kutoka nje ya mada to win an argument....... Sasa hapa unaongelea nini?! Ina uhusiano gani na argument yako ya mwanzo kuhusu estate?!
Hii ni shule Acha kulazimisha biasharaTatu [emoji6]View attachment 1115135
Mnaona mlivyo wapuuz?kujengwa kwenu kuchache kunawafanya muwe malimbukeni ilhal mna watu km hawa 42% wanaoishi behind poverty line,Asee kweli nyie KenyaIt is expected watu kama wewe kutoka nje ya mada to win an argument....... Sasa hapa unaongelea nini?! Ina uhusiano gani na argument yako ya mwanzo kuhusu estate?!
Halaf kak natak unijibu saw tz slums zpo je tunazifikia hzooMikocheni View attachment 1115907
ummayed...mbna unapinga kw maneno...leta facts km nlivyokuwekea kipande cha land act ya kwenu na ya wakenya...yani wewe na foreigner mko sawa ..nyote mna lease land kutoka kw serekali...bwahahaaaa..."u mwongooo" bwahahaaa..km wewe kidume kweli niletee land act ya bongo...ikitofautiana na hyo na log off jf milele

Despite New Laws, Women in Kenya Still Fight For Land Rights If you ar ο
When Kenya passed the Matrimonial Property Act five years ago, it joined a series of laws protecting womenβs access to their property. But patriarchal traditions and lack of awareness about their rights leave many women fighting to keep land that is legally theirs.
Sophie Mbugua Feb. 23, 2018
DIVORCE INHERITANCE KENYA LAND RIGHTS
Related Articles
Most Popular
REPUBLISH THIS ARTICLE WRITTEN BY PUBLISHED ON
ο³
According to estimates, only 1 percent of women in Kenya hold land titles in their own names, and only 5 percent own land jointly with husbands or male family members. Sophie Mbugua
βFor a huge number of women, belonging to a community or family is more rewarding than the property. Some have been willing to give up [their rights] as long as they have a place to build a family house.β MAGDALENA AKINYI* HAD a feeling something was amiss when, in 2012, total strangers started coming over to survey her land in Kakamega. The 46-year-old mother of four eventually found out that her husband, who was working in Nairobi, had married a second wife and sold the 4 hectares of land that he and Akinyi had purchased together during their 12 years of marriage.
βI confirmed he had sold the land, and I
Huu ndio umiliki mnaozungumzia kenya
Mlichokifanya ni kuendeleza tu apartheid, sasa hivi weusi matajiri wamechukuwa nafasi ya Muzungu, baada ya Muzungu kuhama estates.
Lkn estates Nairobi siyo black Kenya idea!
Wewe hapo umevaa boxer kama sio chupi, mchana umelia sahani, umepanda daladala au kuendesha gari lako toka nyumbani..... Yote hayo sio black tanzania wala black kenya mbona hukuyaacha? Epukana na akili za design hii!! Jenga hoja yako watu wakuelewa.
Kwa uelewa wangu, estate ni eneo maalum lilopangwa kwajili ya makazi na kuwekwa miundo mbinu stahiki sio hadi nyumba zifanane. Kila mmoja anaweza akajenga anavyotaka ila kwa mpangilio
wakati naku-quote wewe nilidhania ni barbarosa, my mistake. Ndo maana nikauliza relation na argument yako ya mwanzo..Mkuu, wewe ndio wale blacks mnadhani we never invented anything, you're so misinformed. Nitakuja anzisha thread ya vitu vilogunduliwa na black men ndio mjue bila ya black men kusingekuwa na computer, calculator, hata hizo taa anasifiwa mzungu gani sijui, ile filament ilogunduliwa na black man.
Brainwashed
It is expected watu kama wewe kutoka nje ya mada to win an argument....... Sasa hapa unaongelea nini?! Ina uhusiano gani na argument yako ya mwanzo kuhusu estate?!
......................Was i arguing about estates? Was i replying you?
Argument ipi ya kwanza kuhusu estate
Sijaona hoja ya kujibu..... Labda nikosoe kidogo, ni "below poverty line" sio behind...Mnaona mlivyo wapuuz?kujengwa kwenu kuchache kunawafanya muwe malimbukeni ilhal mna watu km hawa 42% wanaoishi behind poverty line,Asee kweli nyie Kenya
View attachment 1115908View attachment 1115909
Najua kizungu kinawapiga chenga kama kawaida ila aliye na macho haambiwi tazama. In the third paragraph it is clear written and I quote: "A person can have a legal right to land under a Right of Occupancy from the Government for terms of 33, 66 or 99 years..." The fact that the government gives you a right of occupancy for a certain period of time, what happens once the period of that right of occupancy expires? Baada ya hizo miaka 33 au 99 kuisha nini hufata Kama sio kurenew that right of occupancy? Masters of denial. Endeleeni kukodisha ardhi ndani ya nchi yenu kama watumwaLand Law
We advise on land acquisitions and transfers for corporates and projects, as well as in relation to the legal requirements for compensation for local residents displaced by projects.
All land in Tanzania is public land and remains vested in the President as trustee for and on behalf of all citizens of Tanzania.
Public land falls in 3 categories:
General land
Village land (eg land occupied by Tanzanians of African descent under customary law)
Reserved land (eg conservation areas and land for public utilities)
A person can have a legal right to land under a Right of Occupancy from the Government for terms of 33, 66 or 99 years. Nowadays generally only 99 year Rights of Occupancy are issued (Right of Occupancy); or a Derivative Right from a Right of Occupancy (Derivative Right). Foreign nationals and companies majority held by foreigners cannot have a Right of Occupancy or Derivative Right unless they have a Certificate of Incentives issued by the Tanzania Investment Centre.
Relevant land legislation in Tanzania includes:
Land Act (CAP 113) RE 2002
Land (Amendment) Act 2004
Land Acquisition Act (CAP 118)
Land Registration Act (CAP 334)
Village Land Act (CAP 114)
Village Land Rules
Town and Country Planning Act (CAP 355)
Please contact us if you have any co
Nioneshe wapi wameandika kurenew au kukodisha na je unaelewa maana ya hyo sera na je unajua land ipi inatakiwa ifanyiwe hvyo km ulivyoropoka ww eti kurenew.?
Embu soma then ujifunze hyo.ni tofaut na utumbo ulioongea kule juu.
Kama ulikua hujui kuhusu utumbo ulioongea wa 33 sijui to 99 years ni ktk reserved land.
Huku kuna ardhi inayomilikiwa na wananchi na ardhi.inayomilikiwa na serikali.ukitak ya serikali itabid ufate masharti hayo hapo juu ukiwa.una village land it means ardhi.yako mwenyewe unaenda kuchukua hati miliki ya milele ya eneo lako na unalipia kodi tu i think 10000 tu sio zaid ya hapo kwa mwaka saw we pimbi.
Hujui unaropoka
kwanza mnatudanganya...ardhi tanzania iko under the office of the president as a trustee...you can't lie to us guys ...km unapinga leta land act yenye itatofautiana na hii ....bwahahaa
[/URL]
Najua kizungu kinawapiga chenga kama kawaida ila aliye na macho haambiwi tazama. In the third paragraph it is clear written and I quote: "A person can have a legal right to land under a Right of Occupancy from the Government for terms of 33, 66 or 99 years..." The fact that the government gives you a right of occupancy for a certain period of time, what happens once the period of that right of occupancy expires? Baada ya hizo miaka 33 au 99 kuisha nini hufata Kama sio kurenew that right of occupancy? Masters of denial. Endeleeni kukodisha ardhi ndani ya nchi yenu kama watumwa

wakati naku-quote wewe nilidhania ni barbarosa, my mistake. Ndo maana nikauliza relation na argument yako ya mwanzo..
......................
Sijaona hoja ya kujibu..... Labda nikosoe kidogo, ni "below poverty line" sio behind...