Tanzanians Show us your Estates

Mkuu umesema kweli. Tuchape kazi hawa nyang'auz tuachane nao
 
Reactions: Oii
Those are just ordinary apartments which you selected them and took pictures, yaani Kenya mmechoka tu wala hamna jipya, Sijawahi kuona watu wenye majivuno kama Wakenya, hebu piga picha kibera slums uweke hapa kisha ndo tuongee yaani umepiga picha some areas tu kisha unajivuna nini sasa Kama siyo ushamba?
 
show us what u got man sitaki maneno nataka mapicha
 
Yaani wewe jamaa bule kabisa, zile nyumba mlijengewa na Uhuru pale kibera mlikodisha na nyia mkaamia huko kweusi . Sasa unapita huko Runda na kupiga picha estate za watu unatuma humu.
nani kakwambia hapo ni Runda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…