Tanzanians Show us your Estates

Tanzanians Show us your Estates

Am very sure that when it comes to estates and estate planning, Dar haigusi hata Mombasa
 
95be7bbd-9211-4775-a894-6abe555d18f4.jpg
images (54).jpeg
images (54).jpeg

Greenspan Estate in Donholm, Eastlands
 
Wakenya mbona mna akili za kitoto sana
Mlianza barabara
Mmekuja na nyumba
Kesho mtakuja na wake za WaTz na Wakenya
Shida ni nini?
Mmeumia South Africa Zimbabwe Namibia watafundishwa Kiswahili na WaTz
Wapi shida?
Hebu fanyeni kazi mlijenge Taifa lenu
Hizi ni stori za vijiweni kupoteza muda
Kuweni serious kha mnaboa mjue!
 
Ukiona mtu anasifia snaaa vzur ujue yeye hana.siku zote mwenye nacho hajisifu.nahisi ww unakaa kibera slums ndio maana limbukeni hv.
Toka nijiunge JF hakuna watu wanaolimbuka km hawa wakenya bora wa tz wanapost mada za maana kwa kutengeneza thread za maana ila sio haw kenyans.
Embu kaeni muchape kaz mumsaidie kenyetta kupunguza maden ya Jin ping na WB na kupunguza njaa Turkana sio kupost ujinga ilhali hap EAC nchi yenu ndio imehelemewa na maden na daily yanaongezeka na huko Turkana watu wafa njaa.
 
Mnawauzia waarabu dhahabu feki mnakwapusa pesa za serikali na ufisadi wenu
Mnajenga wkt sio fedha zenu. Sisi estates zipo nyingi kuanzia masaki oysterbay msasani mikocheni nk hatuna muda wa kuwaonyesha kujeni TanzAnia mjionee na mlipe fedha za kutalii
 
Watanzania tufanyeni kazi, maswala ya kuingia google na fb kutafuta nyumba nzuri ili tuwaonyeshe awa wakenya na sisi tupo vizuri ni ujinga....


Tufanye kazi tukawasaidie wakenya wanaokufa na njaa, sisi nchi yetu imebarikiwa na hilo tunalijuwa na hakuna haja ya kuwaonyesha wakenya kama tupo vizuri... Waacheni watapetape
Ndio maan kenya inabakia na sifa za zaman kwa kulewa sifa kijinga.
Tz tuendeleen kuibadilisha tz yetu tuwaache hao wala sukuma week wabaki na ujinga wao
 
Hiyo sasa ni sauti ya Mdanganyika wakati amefinywa kabisa.Tulishazoea hiyo.Mtuonyeshe Tandale na Mwananyamala kwa Kopa
Tandale sio kubaya km kibera.
Kibera kumepitiliza
 
Lol! These dangagizas are so full of bitterness. Uzi ukifunguliwa ambayo inawalemea mnabaki tu kutoa matusi na visingizio si haba. Mara ooh Nairobi ilijengwa na kupangwa na wazungu. Mnasahau kwamba eneo Kama Upperhil ilikuwa ni Mahalk pa makazi (estate) miaka 15 iliyopita. Endeleeni kutoa povu ila kila mtu anajua Jiji kuu hapa EA liko wapi
 
Mnawauzia waarabu dhahabu feki mnakwapusa pesa za serikali na ufisadi wenu
Mnajenga wkt sio fedha zenu. Sisi estates zipo nyingi kuanzia masaki oysterbay msasani mikocheni nk hatuna muda wa kuwaonyesha kujeni TanzAnia mjionee na mlipe fedha za kutalii
Nadhani mlisema estates ni mfumo wa kibepari ilyowachiwa wakenya Na wazungu na kwamba mfumo Kama huo wa ubepari Haipo Tanzania. Iweje tena mko na estates nyingi sana kama vile ulivyotaja hapo juu? Kweli siku ya nyani kufa kila mti huteleza
 
Ndio maan kenya inabakia na sifa za zaman kwa kulewa sifa kijinga.
Tz tuendeleen kuibadilisha tz yetu tuwaache hao wala sukuma week wabaki na ujinga wao
Mubadilishe TZ itoke LDC Kwanzaa,hapo mtakuwa mmefanya jambo la busara
 
Wakenya mbona mna akili za kitoto sana
Mlianza barabara
Mmekuja na nyumba
Kesho mtakuja na wake za WaTz na Wakenya
Shida ni nini?
Mmeumia South Africa Zimbabwe Namibia watafundishwa Kiswahili na WaTz
Wapi shida?
Hebu fanyeni kazi mlijenge Taifa lenu
Hizi ni stori za vijiweni kupoteza muda
Kuweni serious kha mnaboa mjue!
Kazi tunafanya kila siku kuijenga nchi yetu wala usiwe na hofu kuhusu hilo hata siku moja ndo maana tuko na uchumi mkubwa kuwaliko. Mngekuwa wachapakazi kutuliko, hatungekuwa mbele yenu kiuchumi na kimaendeleo, na Nairobi haingekuwa ndio mjii muhimu zaidi ukanda huu kuliko zote. Ugua pole
 
Naomba m google Avic town in DSm muone.
 
Madhara ya GDP ya kupika. Mapishi kila mahali mtaua wenzenu kwa pressure bure.View attachment 1112298

Hizi zimekaa geza ulole hata walimu hawazitaki
 
Back
Top Bottom