The Hot Crystapen
Member
- Apr 26, 2019
- 47
- 80
Wakenya tulieni sindano iwaingie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wapi hapa? Pako poa sana
Usianze kuhamisha magoli mpaka sasa tushawazidi urefu wa barabara za rami so wakenya acheni kujitunisha basiiI Still insist, msema kweli Mungu humpenda.........hii battle vile imeanza tutaona the last Man standing na picha vile zinaongea hahahaha, tutatoka kwenye idadi ya barabara tutaenda viwango vya bararabara na aina zake.......
Kuelekea Ngorongoro
Filter noma sana hiyoPunguza editing kidogo unakoleza mpaka macho yanaumaa rami inaonekana tuu hata usipoedit anko
Mnahamisha magoli hahahahaa tuendelee tuuu hofu ya nn? Mnaanzisha ugomvi hafu mnaogopa ngumi za usona kuhusu mjini heri mtupe kombe tu..manake mtadhalilika...labda mjaribu kwenye higway na vijijini muone km mtatoka
Bagamoyo roadView attachment 1096074
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmeshinda kwa leo maana tupo busy na kutoa maji barabarani..
Utakuwa umepiga pic na tecno wareva weweCheck quality road, ndani ya collegeView attachment 1095839