Tanzanians, show us your roads

I Still insist, msema kweli Mungu humpenda.........hii battle vile imeanza tutaona the last Man standing na picha vile zinaongea hahahaha, tutatoka kwenye idadi ya barabara tutaenda viwango vya bararabara na aina zake.......
Usianze kuhamisha magoli mpaka sasa tushawazidi urefu wa barabara za rami so wakenya acheni kujitunisha basii
 
Tanga Kwetu…
Your browser is not able to display this video.
 
Nimeshindwa kuelewa katika hii battle mnaangalia quality au idadi ya barabara,sababu kama ni wingi wa barabara picha inaezapigwa sehemu tofauti kwenye hiyohiyo barabara moja
 
Bado niko nje ya miji. Mkitaka niingie uko mnuambie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…