Kenya hakuna interchange hata moja, mpo na flyovers, overpass and underpass pekee, Subiri Ubungo interchange ikikamilika uje uone tofauti kati ya " Interchange, flyover, underpass na overpassYou haven't shown any unique road or interchanges
Kenya hakuna interchange hata moja, mpo na flyovers, overpass and underpass pekee, Subiri Ubungo interchange ikikamilika uje uone tofauti kati ya " Interchange, flyover, underpass na overpass
Arushaπππππ
Tanzania ile moja nayoijua au nyingine, leo kwanza pale Jangwani hapapitiki jamaa kwao kamvua kakinyesha kadogo wanafunga barabara kubwa ya kwenda mikoani, hili tatizo limekua siku nyingi hawalitatui kero tu na kuja kutunisha misuli dhidi ya Kenya. Watanzania mnafaa kuiga Wakenya kwa hili la barabara, kwanza hapo Jangwani wekeni daraja (overpass) itoke pale Usalama na kushukia Fire, kama hii hapaa tuliyojenga Nairobi
Hebu ona hii video wanavyoteseka