Tanzanians, show us your roads

Tanzanians, show us your roads

Interchange in kericho town under construction.. No such projects in Tz... Naona NDINDA Anatuma picha za barabara randomly picha moja Ina namiwa twice
Screenshot_20190513_223259_com.twitter.android.jpeg
IMG_20190513_223439.jpeg
IMG_20190513_223437.jpeg
IMG_20190513_223435.jpeg
IMG_20190513_223433.jpeg
 
You haven't shown any unique road or interchanges
Kenya hakuna interchange hata moja, mpo na flyovers, overpass and underpass pekee, Subiri Ubungo interchange ikikamilika uje uone tofauti kati ya " Interchange, flyover, underpass na overpass
 
Buda ukijua meaning ya Interchange urudi hapa
Kenya hakuna interchange hata moja, mpo na flyovers, overpass and underpass pekee, Subiri Ubungo interchange ikikamilika uje uone tofauti kati ya " Interchange, flyover, underpass na overpass
 
Flyover over the demolished Taj Mall.. Took this last month in Embakasi
IMG_20190418_115921.jpeg
IMG_20190418_115924_1.jpeg
 
Tanzania ile moja nayoijua au nyingine, leo kwanza pale Jangwani hapapitiki jamaa kwao kamvua kakinyesha kadogo wanafunga barabara kubwa ya kwenda mikoani, hili tatizo limekua siku nyingi hawalitatui kero tu na kuja kutunisha misuli dhidi ya Kenya. Watanzania mnafaa kuiga Wakenya kwa hili la barabara, kwanza hapo Jangwani wekeni daraja (overpass) itoke pale Usalama na kushukia Fire, kama hii hapaa tuliyojenga Nairobi

globe-roundabout-1-now.jpg



Hebu ona hii video wanavyoteseka



Nairobi😆😆😆😆👇👇👇👇

 
Back
Top Bottom