Tanzanians, show us your roads

Tanzanians, show us your roads

Furahisha bridge
1097338
 
I can take my camera drive around kenya and am damn sure i will come with a million photos,the FACT is kenya has a more dense road network now approaching 20,000km.
Which Kenya are you talking about?, the one which 60% of its budget goes to the pockets of corrupt politicians, the one which 50% of its revenue goes to pay salaries mostly politicians, the one which can't pay for its SGR, the one which failed to complete Galana kulalu which is very important project than any other project in Kenya?. Failed state.
 
Barabara Tz hatuwawezi Kenya tuache ubishi. Barabara za Tz ni lami sawa lakini hakuna infrastructure za kuchepusha magari. Badala ya kuchimba chini au kubebesha Barabara tunaweka roundabout au mataa....
Na pia barabara za bongo ni poor quality yaani kiufupi bongo bado mnatambaa,roads za kwenye miji ndo kabisaa hakuna cha maana
 
Kiufupi roads za Kenya zina quality nzuri kuliko huko bongo hata muonekano na bei za ujenzi
Olmost roads zote za bongo ni double surface dressing unlike Kenya tunatumia asphalt roads u can observe via pics here
Hahahahaha, mlileta mada kuijaribu Tanzania, mumeona mumezidiwa na wingi wa barabara za lami, sasa mnageuza kwenye quality. Haya tuambia mnatumia kifaa gani cha kupimia quality ya barabara ukiwa hapa JF, tuweekeni hapa ili tukitumie kupimia hizi barabara. Hahahahaha, Hahahahaha, Tanzania hoyeeeeee
 
Na pia barabara za bongo ni poor quality yaani kiufupi bongo bado mnatambaa,roads za kwenye miji ndo kabisaa hakuna cha maana
Hahahahaha, kawaida yenu mkishinda mnageukia upande wa PILI, how do you measure the quality of the road from Picture?. Kenya mtasubiri sana kwa Tanzania, kumbuka Size ya Tanzania ni Mara mbili ya size ya Kenya, kama hizi barabara za Tanzania zikuhamishiwa Kenya, Turkana, Garisa, Samburu hadi Southern Somalia kutajaa barabara za lami tupu. Hahahahaha, Hahahahaha
 
Back
Top Bottom