Tanzanians, show us your roads

Tanzania iko na 12,000 of tarmaced road Kenya iko na 21,0000km. Nyinyi myatushinda tu kwa kupiga midomo.
Hahahahaha, mtasubiri sana, Tanzania hiyoooo inazidi kupaa mawinguni. Hamna uwezo wa kujenga hata kilometa moja ya reli, hizo barabara mtazijenga kwa pesa IPI?.
Tanzania hoyeeeeeeeeeeee.
 
Hahahahaha, mtasubiri sana, Tanzania hiyoooo inazidi kupaa mawinguni. Hamna uwezo wa kujenga hata kilometa moja ya reli, hizo barabara mtazijenga kwa pesa IPI?.
Tanzania hoyeeeeeeeeeeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…