Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari letu litapitia wap?Jengeni barabara kwanza.Hahahahaha, vipi ile harusi yetu?
Wapi penye Rails alisema Uhuru hajenga hata 3000km? Nangoja.
Tutatumia ndege, kumbuka mwezi huu tunafungua " the biggest and most morden and high tech Airport in East and Central Africa.Gari letu litapitia wap?Jengeni barabara kwanza.
Hahahahaha, nilijua tu kwamba utakuwa mpole ghafla, Tanzania sio size yenu katika infrastructure, acheni kupoteza muda.Maumivu itakuuma.Ahero interchange under constructionView attachment 1097466
Hahahahaha, mtasubiri sana, Tanzania hiyoooo inazidi kupaa mawinguni. Hamna uwezo wa kujenga hata kilometa moja ya reli, hizo barabara mtazijenga kwa pesa IPI?.Tanzania iko na 12,000 of tarmaced road Kenya iko na 21,0000km. Nyinyi myatushinda tu kwa kupiga midomo.
Hahahahaha, mtasubiri sana, Tanzania hiyoooo inazidi kupaa mawinguni. Hamna uwezo wa kujenga hata kilometa moja ya reli, hizo barabara mtazijenga kwa pesa IPI?.
Tanzania hoyeeeeeeeeeeee.
Wow! Thanx 4 posting this road.Hii itakuwa ni ile nyokanyoka road as they call it there.