Tanzanians, show us your roads

Jogoo road
 

Attachments

  • tapatalk_1557835239228.jpeg
    36.9 KB · Views: 19
Oya, how are you feeling the heat of this thread?
Picha ipi itakayoonyesha kilometer 7000 zilizojengwa na Uhuru?, NDINDA amewashindilia picha za barabara za Tanzania hadi mumechanganyikiwa, bado unahitaji picha zingine?
 
You mean that MABATI ROLLING MILLS? Lol makinika bana
Hahahahaha, mtaisoma namba sanaaa, hadi Magufuli akimaliza muda wake ndio mtapumua kidogo, ila kwa sasa" mtaweweseka mchana usiku mtalala, mkiamka asubuhi tunaendeleza bakora"
 
Hahahahaha, mtaisoma namba sanaaa, hadi Magufuli akimaliza muda wake ndio mtapumua kidogo, ila kwa sasa" mtaweweseka mchana usiku mtalala, mkiamka asubuhi tunaendeleza bakora"
Kwa infrastructure shindaneni na Burundi. Tena nyie majizi sana. Mnaiba barabara za Kenya muonekane mmeshinda .😂😂 Ask aslay who lives in LODWAR. Serikali ya ugatuzi imefanikisha mengi licha ya kuwa na ufisadi uliokithiri.
 
Kwa infrastructure shindaneni na Burundi. Tena nyie majizi sana. Mnaiba barabara za Kenya muonekane mmeshinda .[emoji23][emoji23] Ask aslay who lives in LODWAR. Serikali ya ugatuzi imefanikisha mengi licha ya kuwa na ufisadi uliokithiri.
"Mtaweweseka mchana ila usiku mtalala,
Mkiamka asubuhi ni kichapo kwa bakora"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…