Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi yenu kurudia mipicha tu. Kwanza kuna ile chunya road mmeipost Mara 177.
Posting 177×?????Kazi yenu kurudia mipicha tu. Kwanza kuna ile chunya road mmeipost Mara 177.
Na kuna mahali umepost barabara za Kenya .Mkishindwa shindikeni
You mean that MABATI ROLLING MILLS? Lol makinika banaTutatumia ndege, kumbuka mwezi huu tunafungua " the biggest and most morden and high tech Airport in East and Central Africa.
Hahahahaha, mtaisoma namba sanaaa, hadi Magufuli akimaliza muda wake ndio mtapumua kidogo, ila kwa sasa" mtaweweseka mchana usiku mtalala, mkiamka asubuhi tunaendeleza bakora"You mean that MABATI ROLLING MILLS? Lol makinika bana
Hii ndiyo jakaya kiwete ROAD au ni Sam nujoma?
Picha zimeisha???Hii ndiyo jakaya kiwete ROAD au ni Sam nujoma?
Comment #8 ( MK254 ) acha kuiba barabara za waTanzania
Kwa infrastructure shindaneni na Burundi. Tena nyie majizi sana. Mnaiba barabara za Kenya muonekane mmeshinda .😂😂 Ask aslay who lives in LODWAR. Serikali ya ugatuzi imefanikisha mengi licha ya kuwa na ufisadi uliokithiri.Hahahahaha, mtaisoma namba sanaaa, hadi Magufuli akimaliza muda wake ndio mtapumua kidogo, ila kwa sasa" mtaweweseka mchana usiku mtalala, mkiamka asubuhi tunaendeleza bakora"
Stop changing the subject. What's the name of that road?Picha zimeisha???
Coz huwa mkijifungia huko Nairobi mnajidnganya Tz hamna kitu.
Tunasubiri biashara ya maparachichi kwenda uchina
"Mtaweweseka mchana ila usiku mtalala,Kwa infrastructure shindaneni na Burundi. Tena nyie majizi sana. Mnaiba barabara za Kenya muonekane mmeshinda .[emoji23][emoji23] Ask aslay who lives in LODWAR. Serikali ya ugatuzi imefanikisha mengi licha ya kuwa na ufisadi uliokithiri.
built in the 70s
Ukishindwa na mada tafadhali chukua leso ujifungeujifunge halafu nenda shambani ukapalilie korosho. Acha kubadilisha topicMnajifanya mpo na twice road km compared to Tz wakati kuna people huko Turkana wapo na Hunger!!
Mwambie Uhuru aje aombe Msaada wa chakula coz Tz tupo na reseve ya kutosha
View attachment 1097507
View attachment 1097508
View attachment 1097509