Tanzanians, show us your roads

Mbona zetu za vijijini zina markings?

Zipi hizo? Nimesafiri toka Lungalunga Hadi nafika ukunda hakuna hata alama za Barabarani, The road is thin (extremely thin) kama Uchochoro, Hakuna Police wala vibao vya spidi, Hata kupishana inabidi kusubiriana,
What a Failed state
 
Achana na hawa, unajua ni waongo waongo wa kupenda sifa kiasi kwamba ukiwaambia ukweli wanadhani na ww unawadanganya [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zipi hizo? Nimesafiri toka Lungalunga Hadi nafika ukunda hakuna hata alama za Barabarani, The road is thin (extremely thin) kama Uchochoro, Hakuna Police wala vibao vya spidi, Hata kupishana inabidi kusubiriana,
What a Failed state
Macho unayo, kutazama umeshindwa.

Barabara mnazopost ni barabara zilizokamilika kitambo. Usitufanye wajinga wewe.
Wewe ni jinga tu, kwani hujaona pctr ya roads zenu hazina markings, au unageuka kipofu zikitokea.
 
Barabara zenu ni za standard ya chini Sana hata kule upande wa horohoro hadi tanga .kama hujui kabila linaloishi korogwe unasema hujui nitakwelewa sio eti lisinisumbue.

Lingamisha ile barabara ya kutoka Tanga hadi Horohoro na kile kiuchochoro Toka LungaLunga Hadi Mombasa,
 
Hata zenu zinakasoro kibao Au wadau waliofika Kenya hadi waziseme hapa,
BTW Mkoa wa Tanga hukaliwa na wasambaa,wadigo,wabondei,makabila mengine pia yapo
Okay nilidhani ni wadigo pekee, kumbe kuna makabila mengi,ebu taja kasoro ya barabara zetu,Sisi hujenga class A roads.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Lingamisha ile barabara ya kutoka Tanga hadi Horohoro na kile kiuchochoro Toka LungaLunga Hadi Mombasa,
Barabara ya kutoka lungalunga hadi Mombasa inafanyiwa upgrading ujenzi tiyari umeanza , kutoka lungalunga hadi ukunda si nzuri vile lakini kutokea ukunda hadi Mombasa ipo Sawa,Ile ya kwenu kutoka tanga Hadi horohoro haina potholes lakini quality yake ni poor.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Barabara toka Tanga hadi Horohoro ni Hii hapa,
Na kama haina potholes maana yake ni nini ila barabara imejengwa zaidi ya Miaka 6,
What is the meaning of quality according to you?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…