NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyerere roadView attachment 1097277
Za kwetu wanapiga cha juu wanatengeneza vibarabara vifinyo na havina drainage mvua ikinyesha tunapata shida, ukipishana na roli kubwa unaomba Mungu akunusuru au kuovertake ni shida. Aibu yetu Watanzania kwenye barabara standardIt is better to close the thread wakenya mwataka kutuvua nguo.....nothing to compare, labda the things that God created, like the Sun,Moon,Air and the like .
Msema kweli daima Mungu humpenda.
Solai interchangeView attachment 1097336View attachment 1097337
Hahahahaha, kawaida yenu mkishinda mnageukia upande wa PILI, how do you measure the quality of the road from Picture?. Kenya mtasubiri sana kwa Tanzania, kumbuka Size ya Tanzania ni Mara mbili ya size ya Kenya, kama hizi barabara za Tanzania zikuhamishiwa Kenya, Turkana, Garisa, Samburu hadi Southern Somalia kutajaa barabara za lami tupu. Hahahahaha, Hahahahaha
YesHivi wewe umehesabu picha zilizopostiwa ukaona za Tz ndizo nyingi?
Watanzania wameweka picha na wameeleza urefu wa kila barabara, Kenya zaidi ya kuonyesha, under/ overpasses na barabara chache za vijijini, hakuna zaidi mumeonyesha.Hivi wewe umehesabu picha zilizopostiwa ukaona za Tz ndizo nyingi?
Hahahahaha, eti hiyo ndio mnaita interchange, sasa ninaelewa tupo katika level tofauti, kama mlivyochora barabara na mkaziita BRT, Hahahahaha
Really!! Dont show me "other smaller roads" I just wanted the 16/18 lanes in kakamega/ kisumu. As a matter of fact, Save yourself a breath, you wount find none coz there's none
Mmeishiwa barabara mmeamua kuja na PropagandA.
Tz Sqkm ni 980 ambayo ni approx 2× ya Kenya.
Huwezi kukalia kujenga Flyovers wakati 80% ya Tznians wanakaa rural Aresa. Tulihakikisha tunaunganisha Mikoa+ Wilaya kwenye road network.
Kenya Mmekalia kujenga White elephants projects kwa ajili ya showoff!!
Sisi hata Rural Areas papo attractive comparable na Kenya.
Ushauri:
Waambieni JUBILEE wasaidie Rural people road infrastructure+ kulima mazao yakutosheleza baa la njaa hasa Northern part like Turkana waache kula mizoga ya mbwa. Hao ni ndugu zenu pia
Picha mnapiga with narrow view kuogopA Slums zenu zisionekane coz in all EA countries nyie ndipo kuna many slums
Mbona Kenya kuna flyovers hadi rural areas?
Mau Summit interchange
![]()
Ushaambiwa ni kijijini mashambani
Zingine bado zinatengenezwa msee
Hahaha, Pole TeargassTeargas ni Mkenya bruh