Tanzanians, show us your roads

Tanzanians, show us your roads

It is better to close the thread wakenya mwataka kutuvua nguo.....nothing to compare, labda the things that God created, like the Sun,Moon,Air and the like .

Msema kweli daima Mungu humpenda.
Za kwetu wanapiga cha juu wanatengeneza vibarabara vifinyo na havina drainage mvua ikinyesha tunapata shida, ukipishana na roli kubwa unaomba Mungu akunusuru au kuovertake ni shida. Aibu yetu Watanzania kwenye barabara standard
 
Hahahahaha, kawaida yenu mkishinda mnageukia upande wa PILI, how do you measure the quality of the road from Picture?. Kenya mtasubiri sana kwa Tanzania, kumbuka Size ya Tanzania ni Mara mbili ya size ya Kenya, kama hizi barabara za Tanzania zikuhamishiwa Kenya, Turkana, Garisa, Samburu hadi Southern Somalia kutajaa barabara za lami tupu. Hahahahaha, Hahahahaha

Hivi wewe umehesabu picha zilizopostiwa ukaona za Tz ndizo nyingi?
 
Hivi wewe umehesabu picha zilizopostiwa ukaona za Tz ndizo nyingi?
Watanzania wameweka picha na wameeleza urefu wa kila barabara, Kenya zaidi ya kuonyesha, under/ overpasses na barabara chache za vijijini, hakuna zaidi mumeonyesha.
 
Hahahahaha, eti hiyo ndio mnaita interchange, sasa ninaelewa tupo katika level tofauti, kama mlivyochora barabara na mkaziita BRT, Hahahahaha

Haya, tuonyeshe interchange ya bongo maanake sisi Wakenya ambao tumejenga interchange ya Kwanza miaka ya 70s hatujui interchange ni nini. Tuonyeshe ya bongo.
 
Really!! Dont show me "other smaller roads" I just wanted the 16/18 lanes in kakamega/ kisumu. As a matter of fact, Save yourself a breath, you wount find none coz there's none

The biggest road in Kakamega is 4 lane (6 max) and in Kisumu is 6 lanes (8 max).
 
Mmeishiwa barabara mmeamua kuja na PropagandA.
Tz Sqkm ni 980 ambayo ni approx 2× ya Kenya.
Huwezi kukalia kujenga Flyovers wakati 80% ya Tznians wanakaa rural Aresa. Tulihakikisha tunaunganisha Mikoa+ Wilaya kwenye road network.
Kenya Mmekalia kujenga White elephants projects kwa ajili ya showoff!!
Sisi hata Rural Areas papo attractive comparable na Kenya.
Ushauri:
Waambieni JUBILEE wasaidie Rural people road infrastructure+ kulima mazao yakutosheleza baa la njaa hasa Northern part like Turkana waache kula mizoga ya mbwa. Hao ni ndugu zenu pia
Picha mnapiga with narrow view kuogopA Slums zenu zisionekane coz in all EA countries nyie ndipo kuna many slums

Mbona Kenya kuna flyovers hadi rural areas?

Mau Summit interchange

oC1nxYCh.jpg
 
As of 2013 matandao wa barabara tanzania ulikuwa 7000km.....kenya ulikuwa 14400km....hapa nimeweka data ya barabara ambazo serikali ya uhuru imejenga zaidi ya 4000km,bongo leteni data ya barabara zenyu zilizo jengwa tangu 2013.
 
Back
Top Bottom