tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
Hyo barabara ni mpya acha miyeyusho naanza kupata waswas ulitumia usafiri gani, kabila lisikusumbue sanaNadanganya watu vipi? Hio stretch yote kutoka Moshi hadi chalinze sio yenye hadhi ,Kwanza barabara imezeeka inahitaji ukarabati . kwanza jibu swali.