Tanzanians, show us your roads

Tanzanians, show us your roads

Nadanganya watu vipi? Hio stretch yote kutoka Moshi hadi chalinze sio yenye hadhi ,Kwanza barabara imezeeka inahitaji ukarabati . kwanza jibu swali.
Hyo barabara ni mpya acha miyeyusho naanza kupata waswas ulitumia usafiri gani, kabila lisikusumbue sana
 
View attachment 1097879
View attachment 1097880
View attachment 1097883
Tusha implement siku nyingi sisi hiyo express projects zako
1097887

1097888

1097891
 
Tuusan.... from the data i have provided show me any that is not verifiable,sample it out na unioneshe.
 
Hyo barabara ni mpya acha miyeyusho naanza kupata waswas ulitumia usafiri gani, kabila lisikusumbue sana
Barabara zenu ni za standard ya chini Sana hata kule upande wa horohoro hadi tanga .kama hujui kabila linaloishi korogwe unasema hujui nitakwelewa sio eti lisinisumbue.
 
Imezinduliwa hivi karibuni na mh.dk John pombe magufuli.rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzaniia
Screenshot_20190514-233434.jpeg
 
Nilikusudia kuweka kwenye thread ya @ tanzanian show us your road. Wahusika mpeleke huko.
 
Barabara zenu ni za standard ya chini Sana hata kule upande wa horohoro hadi tanga .kama hujui kabila linaloishi korogwe unasema hujui nitakwelewa sio eti lisinisumbue.
Acha kuongea hoja hewa. Hizo barabara ni sub standards kwa vigezo gani.??
 
Barabara zenu ni za standard ya chini Sana hata kule upande wa horohoro hadi tanga .kama hujui kabila linaloishi korogwe unasema hujui nitakwelewa sio eti lisinisumbue.
Hata zenu zinakasoro kibao Au wadau waliofika Kenya hadi waziseme hapa,
BTW Mkoa wa Tanga hukaliwa na wasambaa,wadigo,wabondei,makabila mengine pia yapo
 
Back
Top Bottom