Tanzanians, show us your roads

Google Chato/chattle utaona tulivyoendelea na punda wanapata green lights.
 
Hata tujenge barabara mfano dar. Wenye pesa walishaziba mifereji ya kuingia kwenye mito na baharini, barabara zitachimbika tu. Sisi ni siasa tuuu kwenda mbele. Ndiyoooooooooo. Hongera Kenya naomba mawaziri na bwana mkubwa akuje huko akasome shule maana alipokuwa waziri alimtembelea rafiki yake. Vipi hakuziona?
 
We are talking of highways not streets. Heri ungepiga picha ya ile roundabout inayoinga toka Singida watu wangekuelewa.
 
View attachment 1098667
Mtoto wa kike kapike wakati Wanaume wanaongea kibarazani
 
Kampikie wewe mkeo maana huna kazi wewe. Wenzio tulishamaliza ndo maana tupo kwenye key board wewe ni kula kulala.
Hivi shule zimefungwa au umedisco?
Eti HATA TUJENGE VIPI???
Umepost pics gani humu mpaka uanze kukatisha wa Tz wenzako Tamaa. Traitor of the Nation!!!
Kaa kimya wanajeshi wapambane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…