Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Some place itakua 8 na kwengine kutakwenda mpaka 12 lanes kaa mkao wa kula
Fungua Uzi wake tutaparticipate
Dawa imekuingia kuskia 12 lanes ahahahaBuda ujawai acha kuchanganyikiwa barabara Ata Uganda hamfikii
Dawa imekuingia kuskia 12 lanes ahahaha
Iko wapi?... Thika road maximum ni 18 lanes na ilijengwa kitambo
Thika road ni 8 lanes hata kenyatta yuko kaburini analijua hilo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Una chakuonesha Anko au unarusha mateke sema nimegundua majibu yako now yanaonesha moyoni umekubali ila kwasababu huwez kukubali mbele ya umma so unaishia kusema vmaneno vya kujifariji BT moyoni umekubali.
Nafurahi tu kuwa moyoni umekubali yaan hapa naona unatamani huu Uzi watu wasitume tena mapicha ili soo liishe kimyakimya hahahahaWewe ends usaidie hawa madada wako kuogeleaView attachment 1097104