Hiyo ni Ally Hassan Mwinyi Road,eneo kati ya Morocco-Victoria-Makumbusho. Safi sana mkuu NDINDA. Jamaa zetu wa Thika Road wamekula za uso. Hakika hawatakaa warudie kupambana nasi. Kwa road network,najivunia kuwa Mtanzania tuko vizuri sana. Mwendokasi tu kwa mfano wanataabika kutufikia,wameliwa za uso. Na sasa kuna phase ya Mbagala-City Centre hawa jamaa watazimia aisee.
Kwa mjini Nairobi pekee,Kenya wanatuzidi labda Fly over zao,lakini ni minor kwa vase nzima ya mtandao wa barabara kwa level ya nchi,Tanzania tuko juu sana.