Tanzanians, show us your roads

Tanzanians, show us your roads

Jam Karatina
1104339
 
A very easy way to determine if you should use "an" or "a" before a letter beginning with h is to pronounce the word to see how it sounds. If you don't pronounce the letter h such as in the words "hour" or "honest", you would use the word "an". For example, "an hour" or "an honest man."
If you do pronounce the letter h at the beginning of the word such as "hair" or "happy," you should use the letter "a" before it. For example, "a hair" or "a happy girl."
Kumbe Hakuna Grammar mnajua midanganyika hii
Dah kumbe na wewe english hujui mzee baba!sasa ngoja niwafunze kitu neno hotel linatamkwa tofauti na hour
Ukisema an hour uko sahihi kwa sababu ile h ya mwanzo haitamkwi
Lakini kwenye hotel ile h hutamkwa
Tafuta kamusi ujifunze zaidi dogo
 
Please reread your sentence and come back. You can't even construct a proper sentence and you want to argue with me.
in some funny way you happen to think there is something wrong with that statement!! how could i be so naive? I shoudnt expect much from someone who thinks its "an hotel" WTF!!! I mean thats elementary school engish!!
 
I stopped taking you serious the time you substituted "an" for an "a" in the hotel part.
Tafuta kamusi ujifunze namna hotel inavyotamkwa acha ubishi kwenye hotel h huwa inatamkwa
Sio an hotel
Ni a hotel au the hotel
Take it au baki na ujinga wako
 
in some funny way you happen to think there is something wrong with that statement!! how could i be so naive? I shoudnt expect much from someone who thinks its "an hotel" WTF!!! I mean thats elementary school engish!!
Kuna lijinga lingine linaitwa depay limekuja kumsaidia
Yenyewe yanadhani jinsi hour inavyotamkwa ni sawa na hotel
 
You have never written any sentence here in English and you are opening that your big mouth here to comment.
Tafuta kamusi ujifunze namna hotel inavyotamkwa acha ubishi kwenye hotel h huwa inatamkwa
Sio an hotel
Ni a hotel au the hotel
Take it au baki na ujinga wako
Second learn the roles of punctuations in a sentence and how to use them.
 
Hehehe I'm showing you residential area Wewe unanishow an hotel.
Hehehe continue going out Mr. "a hotel"
Bloody fool. The "h" in the hotel is silent so it takes "an" instead of "a"
Bloody fool. The "h" in the hotel is silent so it takes "an" instead of "a"
Forgive them,They don't learn any grammar in their schools
Unajiaibisha hakuna kitu kinaitwa "an hotel".
 
Wasiotamka "h" kwenye hotel ni wafaransa, wao husema " L'hotel", "L" ikionesha "hotel" (inayotamkwa otel kifaransa) ni musculine noun. Kwenye kiingereza hotel inatamkwa HOTEL.
Baki na yako nibaki na yangu, kwani iko nini?
 
Haina shida ni kueleweshana tuu, mimi nisingependa kuona ukiumbuka mbele za watu kwa kuwa tuu hukuwa na "privilege" ya kupata elimu vizuri. Tunasidiana tuu mazee.
[emoji23][emoji23]
Umefundisha ujinga wake, wanajiona wanajua sana ngeli
 
Haina shida ni kueleweshana tuu, mimi nisingependa kuona ukiumbuka mbele za watu kwa kuwa tuu hukuwa na "privilege" ya kupata elimu vizuri. Tunasaidiana tuu mazee.
Ye anadhani neno hotel linasomeka kama linavyosomeka neno hour
 
[emoji23][emoji23]
Umefundisha ujinga wake, wanajiona wanajua sana ngeli
Hawa ni kwenda nao taratibu mpaka wanyooke, wafaransa wanasema, "petit à petit l'oiseau fait son nid" yaani kidogo kidogo ndege hujenga kiota.
 
Back
Top Bottom