Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,395
Mi najua international languages zaidi ya tatuYou have never written any sentence here in English and you are opening that your big mouth here to comment. Second learn the roles of punctuations in a sentence and how to use them.
Kwa hiyo kuunda sentensi ya kiingereza kwangu si big deal
Lakini huwa nakushangaa wewe unavyojitapa kuwa unajua kiingereza hali ya kuwa ni broken english
Hatusemi an hotel
Tunasema a hotel au the hotel
Hotel ni sawa na house
a house ile h ya mwanzo hutamkwa tofauti na an hour na an honest man ambazo h hazitamkwi