Ningeshauri tuwaache tanesco wajiendeshe kibiashara zaidi, kama kunahaja ya kuongeza bei ili kukidhi gharama za uendeshaji basi waongeze. mie pamoja na kuwa na umeme wa tanesco natumia solar energy, taa fridge tv radio zinatumia solar energy, huu mwezi wa nne sasa sijanunua vocha ya luku!