Ningeshauri tuwaache tanesco wajiendeshe kibiashara zaidi, kama kunahaja ya kuongeza bei ili kukidhi gharama za uendeshaji basi waongeze. mie pamoja na kuwa na umeme wa tanesco natumia solar energy, taa fridge tv radio zinatumia solar energy, huu mwezi wa nne sasa sijanunua vocha ya luku!
...congratulation,naona its time tuanze kuelimishana kuhusu hizi alt. energy nafikiri kwa bei ya umeme huu wa Tanesco zinaweza kuwa cheaper hata kama sio cheaper they're good for envir.