Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Chanzo cha laana zote kipo kwenye Isaya 50;11Ila bujibuji yote haya yanasababishwa na wananchi wenyewe ni majinga majinga makondoo makamasi
Kwani wewe baba yako akiwa anaugua ugonjwa wa akili utakuwa Na furaha
Huo ni uongo mkubwa SANA. The happiest countries are also leading in suicide rate. Ulaya yote na marekani wana stress za ajabu, kuna siku nimeshuhudia mwanamke akijirusha kwenye reli ya subway.
http://worldpopulationreview.com/countries/suicide-rate-by-country/
Tanzania imetajwa kwa least happy, ukizingatia hamjawahi kupigana, aisei hayo ni majanga inabidi muache hizi denials maana ndio zinawatafuna. Wengi hamuna furaha na, mumeishia kuvisema kwenye mitandao lakini huko nje hamdiriki maana mnaogopa hao wasiojulikana.
Kusema kweli we are. Magufuli pamoja nakuleta maendeleo anaendesha nchi kibabe sana. Watanzania tumejaliwa kupendana
Tatizo sio vitu ulivyo orozesha. Tatizo TZ ni Uhuru. Kwa sasa hatuna tofauti na Rwanda au Burundi. Tunaishi kwa wasiwasi. Tanzania ya Magu na JK kwenye swala la uhuru nitofauti sana japo kwenye maendeleo Magu nampa tiki. Watanzania hawana furaha. Kila kona mtu kanunaHizo ni tafiti za kuzusha tafrani kwa jamii.
Hatuna njaa
Hatuna vita
Hatuna ugaidi
Hatuna wafyatuliaji risasi watoto wetu shule
Hatuna ukabila
Mvua kila mwaka inanyesha VIZURI
Mashamba yamestawi
Hatuna majanga ya asili yaliyopitiliza
Tuna rais ambaye ni mkweli hata ukweli hatuupengi na unauma
Watu hawajiui hovyo
Watu wanapendana
Barabara zimejengwa mikoa karibu yote
SGR ndiyo hiyo yaja
Pipeline tunayo na itakinga na kusafirisha mafuta toka Hoima Uganda, lokichar Kenya, kongo, South Sudan
Orodha ni ndefu.
Hiyo report iko true 100% TZ hakuna furaha tena. Msione tunakuja humu ndani tuki battle lakini ukweli mambo ni mabaya. Uhuru TZ hakuna tena, waandishi wahabari wanakimbia nchi, wengine wanapewa copper unategemea furaha? Mimi sio nabii lakini naweza sema kunaanguko kubwa lakiuchumi litatokea TZTanzania imetajwa kwa least happy, ukizingatia hamjawahi kupigana, aisei hayo ni majanga inabidi muache hizi denials maana ndio zinawatafuna. Wengi hamuna furaha na, mumeishia kuvisema kwenye mitandao lakini huko nje hamdiriki maana mnaogopa hao wasiojulikana.