Tanzanians, why are u guys so sad?

Tanzanians, why are u guys so sad?

Iconoclastes

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2014
Posts
4,091
Reaction score
2,511
400px-World_map_of_countries_by_World_Happiness_Report_score_(2017).svg.png


Finland 'world's happiest place' in 2018
 
hahahahaha CCM imewakamata kwenye make*de...pliers mkononi...vyuma vimekaza...watu wanapigwa risasi mchana peupe na kukatwa katwa kwa mapanga kwa kuipinga serikali...wengine wapo gerezani sasa hivi...waimbaji hawakubaliwi kuimba..nyimbo zinapigwa ban.wanahabari wamekamatwa kwenye make*de...rais hatajiki...demokrasia ipo kaburini...furaha itoke wapi?
 
Ila bujibuji yote haya yanasababishwa na wananchi wenyewe ni majinga majinga makondoo makamasi
Chanzo cha laana zote kipo kwenye Isaya 50;11
Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika mwali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.Kazi ya Mwenge ni kupumbaza Na kutia akili za watu UPUMBAVU Na kudumaza Hali ya maisha ya kiroho Na kimwili
 
Tanzania ni kisiwa cha uvumilivu ...ni kama samaki anaetaka kusema lakini mdomoni ana maji

Ila we are not sad ...we dance on de rain
 
With a wazzock and a dotard for president how can we be happy?
 
Mkikuyu anafanya tuwe sad atutaki kusikia upuuzi wa mkikuyu
 
Huo ni uongo mkubwa SANA. The happiest countries are also leading in suicide rate. Ulaya yote na marekani wana stress za ajabu, kuna siku nimeshuhudia mwanamke akijirusha kwenye reli ya subway.

http://worldpopulationreview.com/countries/suicide-rate-by-country/

Tanzania imetajwa kwa least happy, ukizingatia hamjawahi kupigana, aisei hayo ni majanga inabidi muache hizi denials maana ndio zinawatafuna. Wengi hamuna furaha na, mumeishia kuvisema kwenye mitandao lakini huko nje hamdiriki maana mnaogopa hao wasiojulikana.
 
Tanzania imetajwa kwa least happy, ukizingatia hamjawahi kupigana, aisei hayo ni majanga inabidi muache hizi denials maana ndio zinawatafuna. Wengi hamuna furaha na, mumeishia kuvisema kwenye mitandao lakini huko nje hamdiriki maana mnaogopa hao wasiojulikana.

Hizo ni tafiti za kuzusha tafrani kwa jamii.
Hatuna njaa
Hatuna vita
Hatuna ugaidi
Hatuna wafyatuliaji risasi watoto wetu shule
Hatuna ukabila
Mvua kila mwaka inanyesha VIZURI
Mashamba yamestawi
Hatuna majanga ya asili yaliyopitiliza
Tuna rais ambaye ni mkweli hata ukweli hatuupengi na unauma
Watu hawajiui hovyo
Watu wanapendana
Barabara zimejengwa mikoa karibu yote
SGR ndiyo hiyo yaja
Pipeline tunayo na itakinga na kusafirisha mafuta toka Hoima Uganda, lokichar Kenya, kongo, South Sudan
Orodha ni ndefu.
 
How wonderful is this world. The most happiest nation is number 27 in a
Crude Suicide Rate by Country 2018. While one of the saddest nation in the crude suicide list is number 107.
Guys give me the interpretation of these two research reports.
 
Kusema kweli we are. Magufuli pamoja nakuleta maendeleo anaendesha nchi kibabe sana. Watanzania tumejaliwa kupendana
Mtanzania ni mtu mkarimu. Inapotokea mtu(serikal) ikaanza kujenga chuki kati yetu inakuwa inakera sana. Mimi huwa ni CCM lakini sioni sababu yakuanza kubaguana na vyama vya upinzani. Leo hii askari na mwananchi wamekuwa mahadui. Vifo vya ajabu vinavyotokea Tanzania vinatia hasira sana. SGR na Flyover hazitusaidi chochote kama sisi wananchi hatuna furaha
Resource number moja ya nchi yoyote yenye maendeleo duniani ni watu. Uhai na umoja wa watu lazima ueshimiwe. Man was born to be free and independent.
Leo rahisi anasema mbele za watu bila haibu eti wafungwa wajilishe. Hivi mtu aliyefungwa anajilishaje bila kufanya kazi? Swali nije magereza yote yana mashamba ya kulima?? Hatambui kuwa mfungwa bado yuko na haki zote zakuishi kama binadamu mwingine. Some times once you are in TZ you can feel better dead than alive. Kutokana nakutokujali uhai na uhuru wa watu.
Kwenye wimbo wataifa hakuna sehemu utasikia SGR au Flyover kama msingi wa maendeleo bali ni Umoja na Amani.

Ningeomba Magufuli abadili mwenendo wake wajinsi anavyotawala nchi kimabavu. The only battle all leaders have lost is the battle of trying to change the human mind. Kitu chapekee ambacho binadamu tuliumbwa nacho nikuwa sote tuna mawazo tofauti na mwingine. Hatukuzaliwa kama robots. So we need to disagree so as to agree.

Leo hii Raisi anawambia wananchi wake masikini eti atawafanya matajiri waishi kama shetani, alafu wanampigia makofi. Hivi tajiri nikifirisika wewe masikini utakula wapi??
Kikwete alifanya kosa kubwa kwa huyu jamaa.
 
Hizo ni tafiti za kuzusha tafrani kwa jamii.
Hatuna njaa
Hatuna vita
Hatuna ugaidi
Hatuna wafyatuliaji risasi watoto wetu shule
Hatuna ukabila
Mvua kila mwaka inanyesha VIZURI
Mashamba yamestawi
Hatuna majanga ya asili yaliyopitiliza
Tuna rais ambaye ni mkweli hata ukweli hatuupengi na unauma
Watu hawajiui hovyo
Watu wanapendana
Barabara zimejengwa mikoa karibu yote
SGR ndiyo hiyo yaja
Pipeline tunayo na itakinga na kusafirisha mafuta toka Hoima Uganda, lokichar Kenya, kongo, South Sudan
Orodha ni ndefu.
Tatizo sio vitu ulivyo orozesha. Tatizo TZ ni Uhuru. Kwa sasa hatuna tofauti na Rwanda au Burundi. Tunaishi kwa wasiwasi. Tanzania ya Magu na JK kwenye swala la uhuru nitofauti sana japo kwenye maendeleo Magu nampa tiki. Watanzania hawana furaha. Kila kona mtu kanuna
 
Tanzania imetajwa kwa least happy, ukizingatia hamjawahi kupigana, aisei hayo ni majanga inabidi muache hizi denials maana ndio zinawatafuna. Wengi hamuna furaha na, mumeishia kuvisema kwenye mitandao lakini huko nje hamdiriki maana mnaogopa hao wasiojulikana.
Hiyo report iko true 100% TZ hakuna furaha tena. Msione tunakuja humu ndani tuki battle lakini ukweli mambo ni mabaya. Uhuru TZ hakuna tena, waandishi wahabari wanakimbia nchi, wengine wanapewa copper unategemea furaha? Mimi sio nabii lakini naweza sema kunaanguko kubwa lakiuchumi litatokea TZ
 
Back
Top Bottom