Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
- Thread starter
-
- #61
Kwa sababu sisi ni intelligent people, intelligent people are always sad kwani wana uwezo wa kujua kinachoendelea Duniani hivyo huwanyima raha maishani na wengi hata hufa wapweke, ukiona mtu anacheka cheka hovyo hata kama hana kazi, chakula cha kutosha, makazi duni , hiv, global warming, hivi vyote havimsumbui ujue huyo ni low IQ guy!
Sasa angalia kwa mfano Raila Odinga kafanya watu wamejitolea kwa ajili yake wengine wamekufa na kulemaa kwa ajili yake leo hii anakwenda kukutana na Raisi Uhuru Kenyata na kucheka cheka na kuwasahau wote waliojitolea kwa ajili yake, lkn bado wanacheka cheka tu na next time akiwahitaji atawarudia tena na kuanza kuwapiga blah blah ili wachukuwe risasi kwa ajili yake, na kuanza kuimba ,,hatutaki tear gas tunataka bomu" na bado mtu huyu bado ana furaha maishani, huyo retarded!
Wewe hii kauli yako iwekwe kwenye kaburi la sahau. Ati mko intelligent???